Nashindwa nini niamue katika situation hii

Nashindwa nini niamue katika situation hii

Nadhani ndugu yangu utapumzika kaburini... kilasiku changamoto tu...
Kwani uliwakosea Nini walimwengu jamani😭
Siku hizi makaburi nayo yanapitiwa na mafuriko marehemu wanabebwa.

Kwahiyo ukishindwa kuinjoi duniani ndo imetoka hiyo. Yaani ni msoto duniani, msoto kaburini, msoto motoni! Baada ya hapo sijui ataenda kusotea wapi!
 
Pole sana. Watu mnaoishi hapo Canada au walio na uzoefu wa maisha ya huko, mpeni ushauri makini huyu ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom