Nashindwa nini niamue katika situation hii

Nashindwa nini niamue katika situation hii

Mfundishe mkeo japo Kwa shida sana akubaliane na hali!!huwezi mtupa mzazi kama ameamua liwalo na liwe!!

Kuna wazazi ni wabishi sana akiona kekundu TU anasepa faster!!huchagua bora aende kuliko kuharibu maisha ya mwanae!

Japo ukiona mwanamke kamkataa mzazi wako ujue anaefuata kukataliwa ni wewe!!!
Tatizo lake ni mgumu mno kusaidia yupo kwenye shida lakini bado ni muongo kupindukia na mbishi pamoja na mjuaji ninaweza kumwambia tufanye ili ili tukusaidie yeye anajifanya anajua mara anadanganya kuwa ataondoka kesho tena kesho unamuona
Anadanganya kuwa amepata kazi ukichunguza unakuta ni uongo
Yaani mpaka nashindwa kujua ni msaidie kwa njia gani
 
Mwaka 2017, mimi na familia yangu tulihamia Canada kwa matumaini ya maisha bora na ya utulivu. Hata hivyo, baada ya kufika, tulikumbana na changamoto kubwa kutoka kwa baadhi ya Wakongo wenzetu tuliowakuta hapa. Walitusambaratisha kupitia fitna na chuki walizozusha baada ya kuona familia yetu ni kubwa, yenye watoto wengi wa kiume. Walihisi tukiwa na mshikamano, tungeweza kufanikiwa haraka kuliko wao.

Kwa bahati mbaya, walifanikiwa kuchonganisha wazazi wetu hadi baba akaondoka, akatuacha tukiwa bado wageni katika mazingira tusiyoyafahamu. Serikali ilisitisha misaada yote ya kijamii kwa sababu ya hali hiyo ya kifamilia. Wakati huo, mimi nikiwa na umri wa miaka 17 na bado shuleni, nililazimika kuacha masomo ili nianze kufanya kazi na kusaidia mama pamoja na wadogo zangu.

Kwa neema ya Mungu, mama mmoja Mzungu ambaye mtoto wake alikuwa rafiki wa dada yangu, alikuja kutuonyesha upendo na msaada mkubwa. Hapo ndipo tulianza kujisimamia tena taratibu.

Leo, baada ya miaka mingi, baba amerudi akiwa hana makazi, hana kazi, na hana msaada. Alienda kuishi na mwanamke mwingine ambaye baadaye alimfukuza. Mama naye tayari ana maisha mapya na mume mwingine. Mdogo wangu alimkataa kabisa alipomwendea.

Kwa huruma, nimempa hifadhi nyumbani kwangu, ila mke wangu hajaridhika kabisa na hali hiyo.

Nimejipata nikiwa katika wakati mgumu sana—kati ya huruma kwa baba yangu na wajibu wangu wa kulinda amani na heshima ya ndoa yangu. Sipendi kumwona baba akiendelea kuteseka, lakini pia sitaki kuvunja msingi wa familia niliyojenga kwa taabu.

Nimefanya uchunguzi wangu ana madeni kibao hawezi kupata nyumba kwasababu ya credit yake mbaya ya kutolipa madeni nashindwa kumsaidia na kwa Canada mtu hawezi kukodi nyumba mbili kwa wakati mmoja yaani situation yake ni ngumu mno kutatua
Mzee hajatulia mpepeeni
 
Tangu aoe...mke hivi,mke vile...
Yaan 😔
Ni full kulia lia. Ana nyuzi na comments nyingi sana kuhusu mke wake. Ananyimwa utelezi. Mke anawasiliana na ex. Mke haambiliki. Alifikiri akioa itakuwa OK kumbe kaongeza matatizo...

Kuna tatizo kubwa mahali maana kama mwanaume kuna mambo inabidi uamue mwenyewe. Na hizi tabia za akina Manara kukaa unamsema mkeo mitandaoni humu ni dalili za kutokukomaa kisaikolojia na kuwa simp pro max. Huyu ana tatizo mahali!
 
Kwa nini umeona ni Chai mkuu?
20250415_032903.png
 
Ni full kulia lia. Ana nyuzi na comments nyingi sana kuhusu mke wake. Ananyimwa utelezi. Mke anawasiliana na ex. Mke haambiliki. Alifikiri akioa itakuwa OK kumbe kaongeza matatizo...

Kuna tatizo kubwa mahali maana kama mwanaume kuna mambo inabidi uamue mwenyewe. Na hizi tabia za akina Manara kukaa unamsema mkeo mitandaoni humu ni dalili za kutokukomaa kisaikolojia na kuwa simp pro max. Huyu ana tatizo mahali!
🤣🤣🤣 Kuanika mahusiano siyo majuzi stahiki.... unakuwa hujakua bado
 
We umejipata mkuu...wa kufa na kuzikana....mi nipo naendelea na drama zangu jf 🤣
Wakisema mabingwa wa ku break wa toke mbele aisee mimi na wewe tunachukua tuzo... Tuna break up mara nyingi sana hahahaha
 
Back
Top Bottom