Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,324
- 52,034
Atakua last born 🤣🤣.... Alafu kumbe unakua na taarifa zetu humuKabla hajaona napo, ilikuwa ni wanawake hivi, wanawake vile...
Kiufupi anajulikana vizuri sana
Atakua last born 🤣🤣.... Alafu kumbe unakua na taarifa zetu humuKabla hajaona napo, ilikuwa ni wanawake hivi, wanawake vile...
Kiufupi anajulikana vizuri sana
Kama Mimi mlivyo na taarifa zangu mkuu...twende taratibu🥴Atakua last born 🤣🤣.... Alafu kumbe unakua na taarifa zetu humu
Inasikitisha sanaSio hasira tu, ni KINYAA siasa, hasa za bongo
Yaani kama una njaa, ukiingia jukwaa la siasa lazima uone kizungumkuti.Siasa za tz zinatia hasira
Unaweza kutoa tusi bila kutarajia. Ban zipo nje njeYaani kama una njaa, ukiingia jukwaa la siasa lazima uone kizungumkuti.
Kule kuna vichwa ngumu na machawa totally....😅
Kule sasa ndio uwanja wa kujinyakulia ban kirahisi. Ila uzuri wa members wa kule, hawana Id moja.Unaweza kutoa tusi bila kutarajia. Ban zipo nje nje
Hadi hapa umelalamika na kusikitika tu!Wewe nae unataka tulete nyuzi za furaha kama hatuna je
Kama wewe kwenye maisha yako ni amani tupu mshukuru Mungu na sisi tunaitamani hiyo furaha Mungu aliyo kubarikia
Kila mtu anawakati wake wa shida na furaha. Nyakati za shida zisikufanye usahau nyakati za furaha. Set akili yako izichukulie shida unazopitia ni kama mafunzo unayopewa na si kama maumivu.Wewe nae unataka tulete nyuzi za furaha kama hatuna je
Kama wewe kwenye maisha yako ni amani tupu mshukuru Mungu na sisi tunaitamani hiyo furaha Mungu aliyo kubarikia
Mungu akipenda watayala tu hakuna namnaWatunzie siafu hayo maini mamii😁
Iman tu hizo😁Mungu akipenda watayala tu hakuna namna
Lakini si kuyapasha kwa kukusudia hata ufikapo kwa muumba utatembezewa mboko kwa uzembe
Kama mimi na wewe...Nadhani ndugu yangu utapumzika kaburini... kilasiku changamoto tu...
Kwani uliwakosea Nini walimwengu jamani😭
Jipe moyo we haya🤣Iman tu hizo😁
🤣Jipe moyo we haya🤣
We umejipata mkuu...wa kufa na kuzikana....mi nipo naendelea na drama zangu jf 🤣Kama mimi na wewe...
Sawa mkuuKila mtu anawakati wake wa shida na furaha. Nyakati za shida zisikufanye usahau nyakati za furaha. Set akili yako izichukulie shida unazopitia ni kama mafunzo unayopewa na si kama maumivu.
👍Hadi hapa umelalamika na kusikitika tu!
Ubongo 🧠 wako umeshajua wewe ni wa masikitiko kila kukicha.
You need to reset your brain to happiness.
Jamaa una roho ngumu wewe 😂😂🙌🙌ni mkongomani huyo anakujaje tz kiongozi? aende kwao nord kivu uko akaungane na m23.