Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,902
- 3,096
Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele.
Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa.
Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi nyumbani mpaka saa 6 mziki unazimwa na ni maeneo ya mongo la ndege ila huku nilipohamia ni makelele mpaka asubuhi. Yaani ni ubahatike usingizi ukupitie, maisha magumu sana haya this time Kodi ikiisha nitakuwa makini sana kuchagua chumba.
MUNGU anijalie nitimize malengo yangu nijenge huko kijijini masaki(chanika) nitakuwa na amani.