Nashindwa kumzoea shemeji yetu

Nashindwa kumzoea shemeji yetu

Na wewe ni mwanaume.... nna mashaka kama mashine yako inafanya kazi.
Otherwise kaolewe wewe, sio kitu kipya mjini hapa
 
Comments za huu uzi, mie huku niko hoi kwa kucheka, Lol
😂😂😂😂😂
 
Ukweli sura haina maajabu sana.
 
Kuolewa sio suala la uzuri ndugu yangu yani unaweza kuta mtu ana beib mama kibao kawazalsha hakuwaoa ila subirii atakemuoaa ndo utashika kichwaa ushangae.
 
Bongo hili tayari limekuwa jambo la kitaifa, sisi bado ni nchi ya kijamaa mkuu😁
Bongo tunapenda sana kuunga undugu.

Kuna dada mmoja Mmarekani mweusi alikuwa hapo Dar. Wamachinga wakamvamia "Shangazi shangazi chukua mali mpya hii hapa...".

Yule dada masikini hata Kiswahili hajui 😂😂😂
 
Yawezekana ameambiwa ana nyota, kama wa huko Buza wana nyota ya punda awachukue hivyohivyo
 
Bongo tunapenda sana kuunga undugu.

Kuna dada mmoja Mmarekani mweusi alikuwa hapo Dar. Wamachinga wakamvamia "Shangazi shangazi chukua mali mpya hii hapa...".

Yule dada masikini hata Kiswahili hajui 😂😂😂
Siku hizi ni kawaida kusikia Makonda, Makala, Nape n.k wanamwita Lissu kaka yao au mjomba wao, makonda wa daladala njiani wanawake wote ni shemeji zao. Rais anawaita viongozi walio wadogo kiumri kwake "wanangu" "watoto wake"
 
Mimi mwenyewe nimejistukia Mmarekani mweusi wa watu nimemuita dada 😂😂😂
 
Back
Top Bottom