Nashindwa kumzoea shemeji yetu

Nashindwa kumzoea shemeji yetu

Mnapendaga makasha ya biscuits badala ya biscuits zenyewe 🤣 maana pia nimeona kuna mchungaji kashatabiri kuwa wataachana tuu.
 
Watu wanaomiliki pasi za mvuke wanavoongea kwa uchungu kuhusu ke wenye matato duuh huyo Jux hiyo ndo ridhiki yake.
 
Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....".
Yaani kwa apiarensi huku buza wako kibao na kama ndio kilikua kigezo mshkaji asingetumia mapesa yote kusafiri miles akati wa hivyo wako kibaao apa apa.
Smh.
Kumbe hujui kitu, Vijana wako kwenye kufanya marketing na promotion za kazi zao za kisanii...
Hata hivyo ngoma ni droo tumelipiza Kwa Vanessa.
 
Mlaji ndo anajua kilichimvutia we huwezi elewa wanasema utamu wa Ngoma ingia ucheze amecheza imekolea
 
Mguu mzuri sana kama wangu....
Wenye miguu mizuri kila kitu chao ni kizuri
 
Yawezekana ameambiwa ana nyota, kama wa huko Buza wana nyota ya punda awachukue hivyohivyo
Hizi ndio mada zako na level zako za fikra
Kule kwenye maendeleo na ufugaji sio kwako ndo maana kila kitu unaona unaibiwa
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wau wanatizama zaidi ya mwonekano wewe.
Kama mpk sa hiz hujaona we haya endelea na glamour girls wako
 
Back
Top Bottom