Nashindwa kumzoea shemeji yetu

Nashindwa kumzoea shemeji yetu

Kuolewa sio suala la uzuri ndugu yangu yani unaweza kuta mtu ana beib mama kibao kawazalsha hakuwaoa ila subirii atakemuoaa ndo utashika kichwaa ushangae.
Tatizo nguvu iliyotumika (pesa) nyingi sana ukifananisha na muonekano. yule angemuoa tu kimyakimya.
 
Hamna braza lingekua hata Medium (m) au XL sasa hako ni Small (s)
Alimradi litingishike kidogo linaongeza urijali kila ukiliona linavyotetema, kuliko kiwe kigumu kama cha amdala. nguvu za kurudiarudia zitatoka wapi?
 
Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....".
Yaani kwa apiarensi huku buza wako kibao na kama ndio kilikua kigezo mshkaji asingetumia mapesa yote kusafiri miles akati wa hivyo wako kibaao apa apa.
Smh.
Mapenzi ni zaidi ujuavyo. Wasanii pia wana mambo mengi. Akioa wa Buza hiyo platform aliyopata unafikiri wana buza wangempatia. Kumbuka kaoa rich woman as well na famous.....
Wa Buza angemtia stress pia tambua wanaijeria wanawake wana upendo sana na waaminifu.
 
Alimradi litingishike kidogo linaongeza urijali kila ukiliona linavyotetema, kuliko kiwe kigumu kama cha amdala. nguvu za kurudiarudia zitatoka wapi?
Ndugu wa mme sio watu wa mchezo mchezo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Yaani kila nikimtazama labda nitaona kitu spesho juu yake lakini wapi.
Najiuliza maswali mengi hizi pesa zilizomwagwa hapa mbona haziendani na mwomekano yani apiarensi ya shem wetu?
Kwakweli najifariji moyoni najisemea labda ndio wale wa "usimuone hivyo huyo .....".
Yaani kwa apiarensi huku buza wako kibao na kama ndio kilikua kigezo mshkaji asingetumia mapesa yote kusafiri miles akati wa hivyo wako kibaao apa apa.
Smh.
Uspesho wake umejichimbia kwa ndani sana wewe huwezi kuuona.
Ila Juma inaelekea aliumiza sana mnigeria star Rotimi kuchukua Vanesa..na yeye kalipiza kaoa mnaigeria kwa maguvu na mafweza Yani kafunikaa
 
Wanaume wa mjin hawaoi mwanamke ilimradi kaoa anaangalia atafaidika vipi huyo binti na mama ake ni maarufu Nigeria nadhan kaangalia kukua kimuziki zaidi
 
Back
Top Bottom