Wife alipokuwa mjamzito aliniomba tukapime VVU. Nilimchenga chenga kidogo lakini hatimaye niliamua kwenda nje ya mji kupima peke yangu kabla sijaambatana nae. Baada ya counseling ya docta alinielekeza chumba cha kupimia. Nilipoingia ndani nilikutana na mtu wa vipimo ambaye ni rafiki na mke wangu na alishawahi kututembelea home. Nikuwahi kujua sehemu anayofanyia kazi. Alinipokea vizuar na kuchukua damu yangu na kuniomba nisubiri nje kidogo. Nilishangaa kidogo na kupatwa na hofu kwani majibu yangu yalichukuwa zaidi ya nusu saa kuyapata (kwa kawaida huwa inachukua not more than ten mts).
Majibu hayakuwa mazuri (nilionekana nina maambukizi),
1) sijawahi kumweleza mke wangu na huu ni mwezi wa tatu tangu kupata majibu
2) yule dada aliyenitoa damu na kufanya vipimo ameongeza safari za kuja kukutembelea home (kila weekend)
3) sina hakika kama keshamweleza mke wangu status yangu (wife hajaonyesha tofauti yoyote)
naomba ushauri wenu wadau