Nashindwa kumwelewa kwakweli

Sio lawama kwa Wanawake hata nawe naamini una kasoro zako mwenzio ana kuvumilia japo huwa zinazidiana.
Nikwambie tu ukweli,mimi namthamini sana na sina mwingine zaidi yake.
 
Sasa hivi nataka nivae roho ya ukatili,unajua wanawake nimeshawasoma ukiwa mkarimu sana kwao wanakuona fala ila ukiwa mkali wanakuheshimu,yaani hawa viumbe sijui wako vp!!
Ndiyomaana nikakwambia uvulana ndiyo unaokutesa sasa hivi so hadi 2029 ndipo utafikia uanaume, la sivyo utapata tabu sana.
 
Asa usichoelewa ni nini dogo wakati ushasema hana interest wala hakupendi?,na inakuaje msichana mwenye tabia mbovu zote hizo umekutana nae ndani ya miezi saba unataka kumuoa?umerogwa?...Anyways,fanya hivi...Mwambie wewe na yeye bas na mkazie kamba kweli,kwasababu yeye ni mwepesi kuomba msamaha,kulia na kutuma watu,mwekee sharti kwamba lazima umgegede kwanza ndo umsamehe(komalia hapo hapo!,hauna chakupoteza),akikubali mgegede then mteme rasmi sasa(Nusu hasara sio mbaya).
 
U must be really old fashioned.

Natamani nikushangae kabisa for pursuing this openly ridiculous endeavor of taming the untamable (a.k.a Ufugaji wa Kunguru) but such is Love and I can understand.

Jitahidi kwa kadri ya uwezo wako na nguvu za reasoning ulizobakisha, kukaa mbali naye na kumblock kila mahali. Atakupeleka pabaya sana bro...
 
Nikwambie tu ukweli,mimi namthamini sana na sina mwingine zaidi yake.
Kifupi usilazimishe bibie akupende kama ni kweli hivi ulivyo andika ni matukio ya kweli basi hapo unalazimisha kupendwa sehemu ambayo hupendwi.
 
Kifupi usilazimishe bibie akupende kama ni kweli hivi ulivyo andika ni matukio ya kweli basi hapo unalazimisha kupendwa sehemu ambayo hupendwi.
Shukrani
 
Kusoma hujui hata picha linavoenda huoni.. . jiongeze
 
Dogo si kila mtu anafaa kuwa mke, wengine wamewekwa wa kutumia tu, sasa huyo unamuona kabsa hataki ndoa sasa wa nini kukaa unajichosha, wanawake wapo wengi tena wenye heshima na ustaarabu.

Kikubwa jali mambo yako kwanza, mke mwema anatoka kwa Mungu na si instagram. Utakuja jutia mda wako kwa kupenda visivyopendeka. Niulize mimi yalinitokea puani
 
Kuna wanawake wanajua kuchezea shilingi chooni jamani[emoji849][emoji849]


Matukio yote hayo,bado huelewi somo
 
Naweza kusema wewe ni malaika...... Yote hayo umevumilia??? Heheheheheh pole
 
Nilitaka kumshauri kumbe kila kitu anakijua,
 
Nilitaka kumshauri kumbe kila kitu anakijua,
Ndio ni mimi mkuu,ila tatizo nimependa hadi nashindwa kujielewa,sijui nini kimenitokea na mimi huwa sipo hivi,nahisi kuna kitu amenifanyia,niombeeni tu.
 
Yamkini anatudhihirishia kuwa mganga hajigangi![emoji848]
 
Jitoe ufahamu sasa akuzamie pm kama kweli hayo yote anavumilia, jiongeze akilini jimama wengine huleta matangazo kwa staili hizi ili muwatunuku tunu pendwa [emoji1]
Naweza kusema wewe ni malaika...... Yote hayo umevumilia??? Heheheheheh pole
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…