Mada yako ulivyo andika tayari unajua tatizo kwa hiyo maamuzi ni yako.Tahadhari usije kumfanyia kitu mbaya huyo bibie maana unapigwa matukio ila hutaki kuachika endelea na moyo wa chuma.Ndio ni mimi,tatizo nimependa. Yaani hadi nashindwa kujielewa na huwa sipo hivi.
Nilishaamua kumuacha kama mara tatu ila huwa anakuwa mnyonge analia kweli na kuomba msamaha,yaani huwa sijui ni nini huruma tu inakuja namsamehe. Ni king'ang'anizi hasa,anajierebisha kwa mda kidogo hlf anarudia tena upuuzi wakeMada yako ulivyo andika tayari unajua tatizo kwa hiyo maamuzi ni yako.Tahadhari usije kumfanyia kitu mbaya huyo bibie maana unapigwa matukio ila hutaki kuachika endelea na moyo wa chuma.



Ndio ni mimi mkuu,ila tatizo nimependa hadi nashindwa kujielewa,sijui nini kimenitokea na mimi huwa sipo hivi,nahisi kuna kitu amenifanyia,niombeeni tu.Hii ID mnatumia watu wawili tofauti?
Huyo mwenzako ana akili kuliko wewe.
![]()
Jua kusoma alama za nyakati katika mahusiano, usisubiri hadi uumizwe kabisa
Kuna watu huwa nawashangaa sana, yaani unakuta mtu anaona kabisa dalili za kwamba mwenzake sio muaminifu halafu anaendelea nae tu, na wengine unakuta ndio anamuonya mwenzake lakini anaona kabisa hajabadilika lakina bado eti unakuta anendelea nae hadi mwisho wa siku anapomfumania kabisa na kupata...www.jamiiforums.com
Kwa nini alikataa kuvichwa Pete na wewe tuanzie hapo kwanza.Nilishaamua kumuacha kama mara tatu ila huwa anakuwa mnyonge analia kweli na kuomba msamaha,yaani huwa sijui ni nini huruma tu inakuja namsamehe. Ni king'ang'anizi hasa,anajierebisha kwa mda kidogo hlf anarudia tena upuuzi wake
Sasa wewe mwambie hivi Pete unaenda kumvisha mrembo mwingine yeye atakapo kuwa tayari akwambie, jeuri dawa yake kusudi😃😃😃😃Sababu za kijinga tu,eti anadai bado mapema.
Ngoja nikwambie tu,unajua hamna mtu aliyekamilika,kila mtu ana mapungufu yake....sasa utabadilisha wangapi? Cha muhimu ni kujaribu kumbadilisha mtu ukiona umejaribu kumbadilisha kwa bidii zote lkn habadiliki basi ndio anastahili kuachwa.Uvulana bhana daaah...! hadi 2029 utakuwa ushafikia kiwango cha uanaume.
Sasa hivi nataka nivae roho ya ukatili,unajua wanawake nimeshawasoma ukiwa mkarimu sana kwao wanakuona fala ila ukiwa mkali wanakuheshimu,yaani hawa viumbe sijui wako vp!!Sasa wewe mwambie hivi Pete unaenda kumvisha mrembo mwingine yeye atakapo kuwa tayari akwambie, jeuri dawa yake kusudi![]()
Asante kwa ushauri,point nzuri hiyo.Shida ipo hapo kwa namba point namba 9a. ..
Siku utakayoacha kumpa kila kitu ndo siku atayokubali kuolewa, kukupa uchi na kukuheshimu.
Simple exercise kata huduma zote mwezi mmoja tu we wasiliane nae tu lakini usimpe lolote..
Asipokupa uchi au kukubali kuolewa Basi Mimi najikana nafsi..![]()
Sio lawama kwa Wanawake hata nawe naamini una kasoro zako mwenzio ana kuvumilia japo huwa zinazidiana.Sasa hivi nataka nivae roho ya ukatili,unajua wanawake nimeshawasoma ukiwa mkarimu sana kwao wanakuona fala ila ukiwa mkali wanakuheshimu,yaani hawa viumbe sijui wako vp!!