Nashindwa kumwelewa kwakweli

Nashindwa kumwelewa kwakweli

Nadhani bado kidgo utakuwa mtumwa wake, ushauri wangu kwako ni kumpadishia vioo tu. Tambua thamani yako brother.
 
Pole sana ndugu mpenz wako kashapata mtu mwingine anayempa papachu bila hata kumkatalia, ww anakutumia kwa pesa tu.
Ukiwa na mpenz ukiamuacha akaomba msamaha, ukamsamee ndani ya siku 2 lazima akupe papachu, sasa mpenz wa kwako akupi. Tambua Kuna tatizo hapo.
Nahisi utakuwa na matatizo, mwanaume uwezi kuanza kuwa wa kwanza kumtambulisha mwanamke kwenu, Mwanaume inabidi awe wa kwanza kumtambulishwa nyumban kwa mwanamke ndipo unajihakikishia kweli huyu mwanamke ni wako.
 
Alafu kwa kuongezea mademu kama hawo huwa wanawapaka wajinga wajinga papuchi yani kiulaini mabaharia wana jisevia we boya unapangwa!!!
 
Umekaa unatuadithia ujinga kweli sisi malendary hapana kwani wewe una umri gani na huyo mwanamke anaumri gani??kwanza ngoja nikupe za uso.....Moja wewe unajifanya kumtimizia,pili yeye alikuchukulia kama mna have fun wakati yeye hakuwa na kitu akaona unamtimizia mahitaji yake akaona azuge na wewe lakini siyo umtawale pesa yako ya losheni,tatu anamtu wake dissent anamuonekano na nuru machoni japo hana pesa ila anaweza kwenda kifua mbele kwa marafiki zake sasa wewe umekaa kishamba anaona mbwiga,nne wewe unataka kuoa yeye bado anakula ujana na hataki kuolewa na watu kama nyie wakizamani hivyo wewe piga chini tafuta mwanamke mnaye randana hawa wa dot kom utaishia kulia
 
Hii ID mnatumia watu wawili tofauti?

Huyo mwenzako ana akili kuliko wewe.
Alijifundisha halafu hajajielewa.....
 
Mkuu inaweza kuwa ngumu kukubaliana na ukweli
Ila huyo mwanamke hakupendi na ataendelea kukusumbua.
Mwisho wa siku maamuzi unayo wewe..ila haupendwi na huyo manzi.
 
Usijaribu kamwe kumuoa asiyekupenda kwa sababu tu wewe unampenda, UTAJUTA. hata kama atakuja leo kukuambia amekubali kwa dalili ambazo amekuonyesha huyo hafai kuwa mkeo. Kubali kuwa hilo siyo chaguo lako na endelea na maisha mengine ipo siku utakutana na chaguo lako.
 
Umekaa unatuadithia ujinga kweli sisi malendary hapana kwani wewe una umri gani na huyo mwanamke anaumri gani??kwanza ngoja nikupe za uso.....Moja wewe unajifanya kumtimizia,pili yeye alikuchukulia kama mna have fun wakati yeye hakuwa na kitu akaona unamtimizia mahitaji yake akaona azuge na wewe lakini siyo umtawale pesa yako ya losheni,tatu anamtu wake dissent anamuonekano na nuru machoni japo hana pesa ila anaweza kwenda kifua mbele kwa marafiki zake sasa wewe umekaa kishamba anaona mbwiga,nne wewe unataka kuoa yeye bado anakula ujana na hataki kuolewa na watu kama nyie wakizamani hivyo wewe piga chini tafuta mwanamke mnaye randana hawa wa dot kom utaishia kulia
Mimi sina swaga za kishamba aisee,hunifahamu so don't try to judge the outer appearance of me while you don't know me,just give ur advice and go away.
 
Usijaribu kamwe kumuoa asiyekupenda kwa sababu tu wewe unampenda, UTAJUTA. hata kama atakuja leo kukuambia amekubali kwa dalili ambazo amekuonyesha huyo hafai kuwa mkeo. Kubali kuwa hilo siyo chaguo lako na endelea na maisha mengine ipo siku utakutana na chaguo lako.
Asante sana,watu kama hao hujuta sana baadae.
 
Mimi sina swaga za kishamba aisee,hunifahamu so don't try to judge the outer appearance of me while you don't know me,just give ur advice and go away.
I give what i see between the line priod, and no need to know each other.....i know thorough your article and your problems
 
Usijaribu kamwe kumuoa asiyekupenda kwa sababu tu wewe unampenda, UTAJUTA. hata kama atakuja leo kukuambia amekubali kwa dalili ambazo amekuonyesha huyo hafai kuwa mkeo. Kubali kuwa hilo siyo chaguo lako na endelea na maisha mengine ipo siku utakutana na chaguo lako.
Nashukuru
 
Hii ID mnatumia watu wawili tofauti?

Huyo mwenzako ana akili kuliko wewe.
Hii I'd ni yeye tatizo mwongo, mbaya zaidi kumbukumbu hana huu uzi ni chai.
 
Back
Top Bottom