Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,247
Wewe ni zoba
Mchikiii huwaa akiwa anaachwaaa huwa haambiwiii spidiii inapungua kwa kujitoaa taratibu, hutumi text wal upigi cal sanaaa yeye ndo atakuwa anakupigia smtym unapotezeaa kadhirii ya siku zinavyosogea hupoke simu wala hajibu text kimya kimya hapo unamwacha kimya kimya hamjagombana hata mkigumiana njiani mnapeana salamu ye na maisha yake ww na maisha yakooo, elekeza nguvu kwenye kazi'Nilishaamua kumuacha kama mara tatu ila huwa anakuwa mnyonge analia kweli na kuomba msamaha,yaani huwa sijui ni nini huruma tu inakuja namsamehe. Ni king'ang'anizi hasa,anajierebisha kwa mda kidogo hlf anarudia tena upuuzi wake