Ndiyomaana nikakwambia uvulana ndiyo unaokutesa sasa hivi so hadi 2029 ndipo utafikia uanaume, la sivyo utapata tabu sana.Sasa hivi nataka nivae roho ya ukatili,unajua wanawake nimeshawasoma ukiwa mkarimu sana kwao wanakuona fala ila ukiwa mkali wanakuheshimu,yaani hawa viumbe sijui wako vp!!
U must be really old fashioned.Habari wana JF,poleni na harakati za kulijenga taifa.
Naombeni ushauri wenu kwa haya yanayonikuta sasa. Mimi nipo kwenye uhusiano na msichana ambaye kiukweli nampenda sana na nipo tayari kumuoa mda wowote, sina mwingine zaidi yake ila mambo anayonifanyia nashindwa kumuelewa. Mwanzoni tulikuwa tunapendana sana alikuwa hana tatizo ila amekuja kubadilika ghafla na mimi huwa nampa mahitaji yake yote anayohitaji hata ndugu zake huwa nawasaidia,na nimeshamtambulisha kwetu anajulikana na kwetu wanampenda sana ila visa vyake ni hivi;
Kifupi usilazimishe bibie akupende kama ni kweli hivi ulivyo andika ni matukio ya kweli basi hapo unalazimisha kupendwa sehemu ambayo hupendwi.Nikwambie tu ukweli,mimi namthamini sana na sina mwingine zaidi yake.
Tangazo la nini sasa?Hili tangazo kabisa limeletwa in indirect way
Shukrani
Kingereza sio lugha yetu andika kiswahili itakuwa inatosha uku mnachapia sana.I give what i see between the line priod, and no need to know each other.....i know thorough your article and your problems


Kingereza sio lugha yetu andika kiswahili itakuwa inatosha uku mnachapia sana.
Oooh...! karibu sana na kwangu Happy ili unichezee akili MamaKuna wanawake wanajua kuchezea shilingi chooni jamani![]()

Sikatai lakini kama akiandika basi ajitaidi kuandika kingereza kilicho sahii.Sasa ataonekana vipi kaenda shule, au hujui jinsi gani akili zetu Wabongo zilivyo?
Nilitaka kumshauri kumbe kila kitu anakijua,Hii ID mnatumia watu wawili tofauti?
Huyo mwenzako ana akili kuliko wewe.
![]()
Jua kusoma alama za nyakati katika mahusiano, usisubiri hadi uumizwe kabisa
Kuna watu huwa nawashangaa sana, yaani unakuta mtu anaona kabisa dalili za kwamba mwenzake sio muaminifu halafu anaendelea nae tu, na wengine unakuta ndio anamuonya mwenzake lakini anaona kabisa hajabadilika lakina bado eti unakuta anendelea nae hadi mwisho wa siku anapomfumania kabisa na kupata...www.jamiiforums.com
Yamkini anatudhihirishia kuwa mganga hajigangi!Hii ID mnatumia watu wawili tofauti?
Huyo mwenzako ana akili kuliko wewe.
![]()
Jua kusoma alama za nyakati katika mahusiano, usisubiri hadi uumizwe kabisa
Kuna watu huwa nawashangaa sana, yaani unakuta mtu anaona kabisa dalili za kwamba mwenzake sio muaminifu halafu anaendelea nae tu, na wengine unakuta ndio anamuonya mwenzake lakini anaona kabisa hajabadilika lakina bado eti unakuta anendelea nae hadi mwisho wa siku anapomfumania kabisa na kupata...www.jamiiforums.com

Naweza kusema wewe ni malaika...... Yote hayo umevumilia??? Heheheheheh pole