Nashindwa kumwelewa kwakweli

Nashindwa kumwelewa kwakweli

1. Pole
2. Ushauri: Unatumika vibaya asee.. Sasa fanya iviiii... Acha kabisa kumtafuta. Yaani inshort muache. Futa memory zake zote alizoshare na wewe ikiwemo namba yake, na m'block kwenye social networks. Yaani funga milango yote. Akipiga usipokee, wala msgs usijibu, wala physically usionane naye. Kuwa busy na issue zako, busy busy kwelikweli ili usiwe na mawazo. Ni ngumu, but nilifanya hivyo nikafanikiwa. Mpaka leo hajanisahau, ilhali mie hayupo kwenye rada zangu forever. Otherwise...
3. Jiandae kwa maumivu ya kuachwa.
 
Mkuu acha kupoteza muda, huyo anakutumia tu, utakuja kujuta Sana ikifika point yeye aseme nimesmua tuachane,

Mwanaume fanya maamuzi magumu muda sahihi, acha kupoteza pesa na muda wako
 
Kwaio mzee wa kazi unamtimizia mahitaji yake ya kifedha na sasa hivi ni mwezi wa nne hujala mzigo anakwambia atakupa penzi baada ya kumuoa daah hahaha kweli kazi ipoo huyo ukioa siku umerudi unataka kula mzigo hashindwi kukwambia leo hunili...
 
kuna msemo mmoja famous century hii unasema: dont be a nice guy, naona wewe ndo ulipo: mara nyingi dem ukimpa kila kitu anakosa cha kukusumbua nacho, inabidi vingine vibaki pending ili attraction ibaki, yawezekana alikupenda kweli moyo mmoja zaman lakini hua wana tabia ya kuloose interest mapema sana wakiwa comfortable so unatakiwa uact unapredictable ili asiloose attraction, ila so far naona huyu ashaloose attraction kwako
 
Sasa ni ushauri gani tena unataka tukupe mkuu?
 
Wanawake wengi wa kizazi hiki ndivyo walivyo, kata mawasiliano.
Jibidishe na kazi.
Utampata tu mwenye nidhamu, maadili na upendo.
Usikubali mapenzi yakuumize kichwa na kukupa stress.
Sasa mkuu wewe umeshasema kuwa anakutumia tu kurahisisha Mambo yake,halafu tena unakuja kuomba ushauri Sasa sijui unataka ushauri upi tena.
 
Habari wana JF,poleni na harakati za kulijenga taifa.
Naombeni ushauri wenu kwa haya yanayonikuta sasa. Mimi nipo kwenye uhusiano na msichana ambaye kiukweli nampenda sana na nipo tayari kumuoa mda wowote, sina mwingine zaidi yake ila mambo anayonifanyia nashindwa kumuelewa. Mwanzoni tulikuwa tunapendana sana alikuwa hana tatizo ila amekuja kubadilika ghafla na mimi huwa nampa mahitaji yake yote anayohitaji hata ndugu zake huwa nawasaidia,na nimeshamtambulisha kwetu anajulikana na kwetu wanampenda sana ila visa vyake ni hivi;
1. Huwa nataka sana kufanya mpango wa kwenda kwao kujitambulisha rasmi lakini yeye anakataa,yaani hataki kabisa.
2. Huwa hataki kabisa niguse simu yake,nikigusa tu anakuwa mkali kama pilipili ila mimi huwa nipo muwazi kwake kwa kila kitu,mambo yangu ya maendeleo namuhusisha lakini haonyeshi interest, simu yangu huwa namuachia muda wowote akitaka.
3. Pia ana tabia ya uongo sana, yaani unaweza kumuuliza yupo wapi akakwambia yupo nyumbani ila nikimpigia simu dada yake kumuuliza naambiwa hayupo,ni mengi sana ameshanidanganya mimi,mengi sana,sio mkweli kabisa.
4. Ana tabia anatoka kazini anapitia sehemu zake huko anazojua anarudi nyumbani kwao usiku mida ya saa nne au saa tano usiku,kwao wenyewe wameshamchoka na tabia zake,wanamlalamikia sana(Anaishi na mama yake tu,amelelewa na single mother)
5. Nilikuwa nimeshafanya mpango kabisa wa kumvisha pete ya uchumba ila huwezi amini alikataa
7. Huwa nikimwambia tutoke out huwa anasema anakuja lakini hata haji(Mara nyingi tu ameshanifanyia hivyo)
8. Baada ya kuwa nae kwa miezi minne nikamgusia kuhusu suala la kufanya mapenzi,amekataa kabisaa anasema eti hadi aolewe ndio atafanya na sio kwamba ni bikra,sio bikra..amekataa kabisa.
9. Huwa sijawahi kuacha kumpa chochote anachohitaji,mm naona ni kama tu ananitumia ili mambo yake yaende sawa lakini hanipendi...maana kama ni kuhitisha pesa anahitisha sana
10. Nikiwa nachat nae,yaani text zinajibiwa polepole hadi kero,namtumia text inajibiwa baada ya madakika au lisaa,halafu yupo kabisa online
11. Yaani hayupo romantic kabisa,daahh yaaani huu uhusiano sioni nafaidika chochote,sifaidiki chochote kabisa hapa,naloose tu na kupata stress kila siku
12. Huwa ananiudhi sanaa na huwa ninapomwambia tuachane,huwa anakuwa mnyonge na kunibembeleza vya kutosha turudiane,atawatumia watu mbalimbali kuongea na mm,analia machozi na kuahidi kutorudia,sasa unakuta tu namsamehe na kurudiana nae lakini baada ya muda anarudia yaleyale tena.
8. Yaani ni mrahisi sana kuomba msamaha ila ni mrahisi sana kurudia kosa.
9. Halafu naamini sisi wanaume mwanamke ambaye una malengo nae huwezi kumruhusu avae hovyo,ila sasa yeye mavazi anayovaa hayana maadili ila nikimwambia ni mbishi kupindukia.
10. Halafu huwezi amini na kanisani huwa hakosi,anajua kusali sana na huwa anasoma biblia sana...huyu simuelewi kweli.
11. Halafu ni mtu ambaye hata status anazoweka Whatsapp hazina maadili kabisa,yaani hadi huwa namuuliza hivi wewe huna watu wa heshima huku,huna aibu lkn ni mbishi hasikii
12. Kiufupi ni mtu ambaye inaonyesha hana interest na mm.
13. Pia ni mtu wa hasira sana, yaani huwa anaongea na mimi kwa hasira lakini watu wengine anaongea nao kwa kucheka
14. Company yake ni ya wasichana walioshindikana, yaani ambao hawajiheshimu

Wakuu ni visa vingi huyu msichana amenifanyia,hivi ni baadhi tu. Ni miezi saba sasa tangu niwe nae ila kila siku ni visa, mimi nahisi atakuwa na wanaume wengine ila mimi atakuwa tu ananitumia kujinufaisha kiuchumi tu....sasa nataka niachane nae kabisa na hata nimblock kabisa ijapokuwa nampenda sana,wakuu naumia kwasababu nimekuwa muaminifu sana kwake,sijawahi kumcheat...kweli huyu dada atajuta sana,bado ana akili za kitoto,hajajua anachotaka huyu.
NISHAURINI TU,JE MWANAMKE KAMA HUYU UNAMCHUKULIAJE NA JE USHAKUWA NA MTU KAMA HUYU?View attachment 1185772
Nilichogundua kwenye hili andiko lako wewe ndiyo demu wake.
 
Acha kupoteza muda aisee, hapo hamna kitu, na unavozidi kuwa nae ndio unajipalia makaa ya moto, kuwa na huruma haimaanishi ushindwe kujihurumia kisa unahurumia wengine, piga teke, kaz moyo, kuwa mkali tupilia mbali, Wanawake wapo wakukufaa.

Sasa kama kusoma hujui hata picha huoni?sasa sisi tukushauri nini kama wewe binasfi umeshagundua kuwa hayuko interested na wewe sasa unataka ushauriwe nini tena?
 
Mkuu "unataka umulikiwe tochi mchana?" Hapo wewe ndo king'ang'anizi sio yeye amekuonesha kila aina ya rangi huelewi subiri kumfumania au kuambiwa "SIKUTAKI"

Bado kuna mtu aneulizia uwepo wa wanaume wa hovyohovyo hukooo? Eeeeh
 
Wanawake wengi wa kizazi hiki ndivyo walivyo, kata mawasiliano.
Jibidishe na kazi.
Utampata tu mwenye nidhamu, maadili na upendo.
Usikubali mapenzi yakuumize kichwa na kukupa stress.
Hakufai kabisa huyo
 
Pole sana... sasa kama kwao wameshamchoka na tabia zake wewe utamuweza wapi?

She is not yet into you... bado haja settle kwenye mambo yake...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom