Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Miezi 7 unatangaza ndoa clearly hujamjua bado mwenzio,kila lakheri
Kwa maelezo yake hata penzi ajaonjeshwa dah na visa vyote hvyoItakuwa hajamfikisha mkuu jitafute!mwanamke ukimkuna jinsi anavyotaka hata ukimtukana na bado atakuomba msamaha
Eeet atabadilika kidogo kidogo kwenye ndoaYote hayo alokufanyia bado tu unataka kumuoa? Rangi gani mpk sasa hujaona maana ameshakuonyesha rangi zote na wewe bado unamn'gang'ania? Nyie ndio kwenye ndoa mnachinjaga wake zenu wakati tabia mbaya ulishazijua toka mwanzo na ungeweza kujiepusha nae
Hii ID mnatumia watu wawili tofauti?
Huyo mwenzako ana akili kuliko wewe.
![]()
Jua kusoma alama za nyakati katika mahusiano, usisubiri hadi uumizwe kabisa
Kuna watu huwa nawashangaa sana, yaani unakuta mtu anaona kabisa dalili za kwamba mwenzake sio muaminifu halafu anaendelea nae tu, na wengine unakuta ndio anamuonya mwenzake lakini anaona kabisa hajabadilika lakina bado eti unakuta anendelea nae hadi mwisho wa siku anapomfumania kabisa na kupata...www.jamiiforums.com

visanga na vimbwanga jfHuyu jamaa atakuwa kachezewa akili yani hana sababu ya kuendelea kubaki na uyo dadaWatu wengine Mungu anawaonyesha hatari iliopo mbele yake Dhahiri kabisa, live yaani, lakini mtu bado tu... Aiseee!!!
mkuu recycle Bin inawezekana kachezewa asee, maana walau kama alionjeshwa kipochi tukasema utamu umemkolea, lakini walaaaa.Huyu jamaa atakuwa kachezewa akili yani hana sababu ya kuendelea kubaki na uyo dada
Labda kakolea kwenye hivyo visa ila kuna watu wanajua kuvumilia ujinga, miezi yote hyo mtu unahudumia na bado mtu haelewekimkuu recycle Bin inawezekana kachezewa asee, maana walau kama alionjeshwa kipochi tukasema utamu umemkolea, lakini walaaaa.
4. Ana tabia anatoka kazini anapitia sehemu zake huko anazojua anarudi nyumbani kwao usiku mida ya saa nne au saa tano usiku,kwao wenyewe wameshamchoka na tabia zake,wanamlalamikia sana(Anaishi na mama yake tu,amelelewa na single mother)
HahahaHili tangazo kabisa limeletwa in indirect way
ndugu kwa haya uliyoandika inainyesha ni jinsi gani ulivyo dhaifu! huyo hata ukimuoa jua atakaa juu ya kichwa yako. jitathimini tena utaona mapungufu yako ni mengine sana maana huoni mbele yako itakuja kuwaje.Habari wana JF,poleni na harakati za kulijenga taifa.
Naombeni ushauri wenu kwa haya yanayonikuta sasa. Mimi nipo kwenye uhusiano na msichana ambaye kiukweli nampenda sana na nipo tayari kumuoa mda wowote, sina mwingine zaidi yake ila mambo anayonifanyia nashindwa kumuelewa. Mwanzoni tulikuwa tunapendana sana alikuwa hana tatizo ila amekuja kubadilika ghafla na mimi huwa nampa mahitaji yake yote anayohitaji hata ndugu zake huwa nawasaidia,na nimeshamtambulisha kwetu anajulikana na kwetu wanampenda sana ila visa vyake ni hivi;
1. Huwa nataka sana kufanya mpango wa kwenda kwao kujitambulisha rasmi lakini yeye anakataa,yaani hataki kabisa.
2. Huwa hataki kabisa niguse simu yake,nikigusa tu anakuwa mkali kama pilipili ila mimi huwa nipo muwazi kwake kwa kila kitu,mambo yangu ya maendeleo namuhusisha lakini haonyeshi interest, simu yangu huwa namuachia muda wowote akitaka.
3. Pia ana tabia ya uongo sana, yaani unaweza kumuuliza yupo wapi akakwambia yupo nyumbani ila nikimpigia simu dada yake kumuuliza naambiwa hayupo,ni mengi sana ameshanidanganya mimi,mengi sana,sio mkweli kabisa.
4. Ana tabia anatoka kazini anapitia sehemu zake huko anazojua anarudi nyumbani kwao usiku mida ya saa nne au saa tano usiku,kwao wenyewe wameshamchoka na tabia zake,wanamlalamikia sana(Anaishi na mama yake tu,amelelewa na single mother)
5. Nilikuwa nimeshafanya mpango kabisa wa kumvisha pete ya uchumba ila huwezi amini alikataa
7. Huwa nikimwambia tutoke out huwa anasema anakuja lakini hata haji(Mara nyingi tu ameshanifanyia hivyo)
8. Baada ya kuwa nae kwa miezi minne nikamgusia kuhusu suala la kufanya mapenzi,amekataa kabisaa anasema eti hadi aolewe ndio atafanya na sio kwamba ni bikra,sio bikra..amekataa kabisa.
9. Huwa sijawahi kuacha kumpa chochote anachohitaji,mm naona ni kama tu ananitumia ili mambo yake yaende sawa lakini hanipendi...maana kama ni kuhitisha pesa anahitisha sana
10. Nikiwa nachat nae,yaani text zinajibiwa polepole hadi kero,namtumia text inajibiwa baada ya madakika au lisaa,halafu yupo kabisa online
11. Yaani hayupo romantic kabisa,daahh yaaani huu uhusiano sioni nafaidika chochote,sifaidiki chochote kabisa hapa,naloose tu na kupata stress kila siku
12. Huwa ananiudhi sanaa na huwa ninapomwambia tuachane,huwa anakuwa mnyonge na kunibembeleza vya kutosha turudiane,atawatumia watu mbalimbali kuongea na mm,analia machozi na kuahidi kutorudia,sasa unakuta tu namsamehe na kurudiana nae lakini baada ya muda anarudia yaleyale tena.
8. Yaani ni mrahisi sana kuomba msamaha ila ni mrahisi sana kurudia kosa.
9. Halafu naamini sisi wanaume mwanamke ambaye una malengo nae huwezi kumruhusu avae hovyo,ila sasa yeye mavazi anayovaa hayana maadili ila nikimwambia ni mbishi kupindukia.
10. Halafu huwezi amini na kanisani huwa hakosi,anajua kusali sana na huwa anasoma biblia sana...huyu simuelewi kweli.
11. Halafu ni mtu ambaye hata status anazoweka Whatsapp hazina maadili kabisa,yaani hadi huwa namuuliza hivi wewe huna watu wa heshima huku,huna aibu lkn ni mbishi hasikii
12. Kiufupi ni mtu ambaye inaonyesha hana interest na mm.
13. Pia ni mtu wa hasira sana, yaani huwa anaongea na mimi kwa hasira lakini watu wengine anaongea nao kwa kucheka
14. Company yake ni ya wasichana walioshindikana, yaani ambao hawajiheshimu
Wakuu ni visa vingi huyu msichana amenifanyia,hivi ni baadhi tu. Ni miezi saba sasa tangu niwe nae ila kila siku ni visa, mimi nahisi atakuwa na wanaume wengine ila mimi atakuwa tu ananitumia kujinufaisha kiuchumi tu....sasa nataka niachane nae kabisa na hata nimblock kabisa ijapokuwa nampenda sana,wakuu naumia kwasababu nimekuwa muaminifu sana kwake,sijawahi kumcheat...kweli huyu dada atajuta sana,bado ana akili za kitoto,hajajua anachotaka huyu.
NISHAURINI TU,JE MWANAMKE KAMA HUYU UNAMCHUKULIAJE NA JE USHAKUWA NA MTU KAMA HUYU?View attachment 1185772
wanawake wazuri wenye tabia nzuri wapo wengi sana. sasa hapo huja muoa yupo hivyo akiingia huko ndani atakuwasha na vibao kisha unaishia kunywa sumu hivi hivi. wewe ni mwanaume gani unakua zoba kiasi hicho???Unakwama wapi?Habari wana JF,poleni na harakati za kulijenga taifa.

ShkamoooMkuu kwa ushauri wangu hapo chomoa Betri.