Ni kweli mpenzi natambua haimzuii kupenda tena ila atakuwa anakaa kwa machale sana, katika kila uhusiano utaokuja mbeleni na uwezekano wa kidume kulizwa huwa ni 90%!!! Ni wachache sana huweza kujiachia na kumpenda kwa moyo wote kidume kama alivyofanya kwa first love, lazma kuwe na misinema mingi sana inaendelea kwenye simu ya binti!Hahahahaa. Ubatizo wa moto haujawahi kumzuia mwanamke asipende
Hio miuno sasa, kama nakuona vile!Pole mdogo wangu ila huna mpenzi tena hapo. Anza kujipa mazoezi ya kumsahau na anza kwa kumchunia wala usimwambie muachane. Ukikaa kimya siku tano na hajakutafuta ujue machweo ndo yashafika.
Halafu siku nyingine usimpe mwanaume hela kama hajakuambia ana tatizo atakugeuza mama mlezi wake. Atakua anajikalisha kimya uwe unampa..
Jeuri mwenzie kusudi mpotezee huyo shemeji keshafundishwa katerero anaona miuono ya paka chongo sio kitu
Hahaha,Miuno ya paka chongo ndio ikoje hiyo?
Hio miuno sasa, kama nakuona vile!
Ni kweli mpenzi natambua haimzuii kupenda tena ila atakuwa anakaa kwa machale sana, katika kila uhusiano utaokuja mbeleni na uwezekano wa kidume kulizwa huwa ni 90%!!! Ni wachache sana huweza kujiachia na kumpenda kwa moyo wote kidume kama alivyofanya kwa first love, lazma kuwe na misinema mingi sana inaendelea kwenye simu ya binti!
Sawa my dear. Asante [emoji120]Pole mdogo wangu ila huna mpenzi tena hapo. Anza kujipa mazoezi ya kumsahau na anza kwa kumchunia wala usimwambie muachane. Ukikaa kimya siku tano na hajakutafuta ujue machweo ndo yashafika.
Halafu siku nyingine usimpe mwanaume hela kama hajakuambia ana tatizo atakugeuza mama mlezi wake. Atakua anajikalisha kimya uwe unampa..
Jeuri mwenzie kusudi mpotezee huyo shemeji keshafundishwa katerero anaona miuono ya paka chongo sio kitu
Good morning and asante sana. Nimekuelewa[emoji120]Kwani dada una plan ya kuishi miaka mingapi hapa duniani, maana yawezekana mwenzetu umepenyezewa nyepesi nyepesi na israel mtoa roho kuwa hana mpango na ww hadi miaka 200+++ ehh! ?
Wakati mwingine nashindwa kuelewa kwa nn mtu ujichagulie kuishi maisha ya huzuni na kusononeka na mashaka mashaka wakati unaweza kuchagua na kuyajenga mambo yako yakaenda vizuri na ukafurahi.
Kuna zile story za sijui "siwezi ishi bila wewe" , "wewe ndio jua langu bila wewe maisha yangu yako gizani", "kama sio wewe siwezi pata mwingine na ndio utakua mwisho wangu" nk nk nk, huu ni uongo uliotukuka, maisha yataendelea tu hata baada ya huyo uliyenaye akiondoka. Usijijaze ujinga kuwa siwezi kuachana naye kwa kua nampenda despite vituko vyote unavyoona sasa vipi akifa je? Na ww utajitoa roho?
Soma alama za nyakati then jiongeze usikatae kuuona ukweli uliopo mbele yako, kuna mkuu mmoja ame-coment kuwa mojawapo ya tabia ya baadhi ya wanaume anapomchoka mtu na kutaka kumtua ni hii ya kum-ignore, sasa ww unataka usubiri hadi uone picha za harusi yake ndio ujue kumekucha?
Anyway kupanga ni kuchagua, kama unataka uendelee kupelekwa pelekwa au unataka uonyeshe thamani yako ww ndio mwamuzi wa mwisho.
Good Morning.
Asante dear. Na naelewa tu ya PM yataishia PM. Nothing more.Unaonekana bado ni kuku mwenye kamba mguuni kwenye suala la mapenzi, huyo jamaa yako hana muda na wewe, jiongeze mdogo wangu.
NB: kuwa makini na watu watakao kufuata PM kujifanya wanatoa ushauri usipokuwa makini utalia muda si mrefu.
Pole mode hiyo "rolleyes "ni nini maana wewe mtu wa3 naona unaandika hivoKuna kijana alikuwa ananifanyia hivi kumbe ako na mtu mwingine🙄🙄
Achana nae.
Ameaumua kukuweka kiporo ...ili akijisikia horny awe anakutafuta tu ili umpe papuchi akate kiu chake ndio maana hakuambii kuwa hana time na wewe " ndio maana haachi pia kukutamkia maneno ya udanganyifu lakini (matamu ) ili aweze kukupumbaza "".jiongeze aiseeI try but nkiamua hivyo after some days ananitafuta na kuniambia ananipenda sana. Yani ni km vile anajua kuwa najaribu kumove on alafu ananitafuta tena kunikumbusha.
HahaaNimekutumia namba yangu ya simu pm, naomba tuwe marafiki wa kubadilishana mawazo