I try but nkiamua hivyo after some days ananitafuta na kuniambia ananipenda sana. Yani ni km vile anajua kuwa najaribu kumove on alafu ananitafuta tena kunikumbusha.Hapo kuna kitu lkn hizo ni dalili tosha hana muda na wewe just move on no matter what
Yani kutafutwa sio shida mfute kabisa moyoni if possible.. mchukulie kawaida wala usiangaike nae kabis endelea na maisha yakoI try but nkiamua hivyo after some days ananitafuta na kuniambia ananipenda sana. Yani ni km vile anajua kuwa najaribu kumove on alafu ananitafuta tena kunikumbusha.
Jitahidi Kuwa na nia ya kuachana nae. Na ukifanikiwa tu kuachana nae. Nicheki PM tuyajenge.Tatizo ndo lipo hapo kwenye kufanikiwa kuachana nae. Najitahidi lakini ni ngumu
Asante sanaSawa. Asantee
Ana busara sana huyo jamaa!Hello. Mimi ni binti wa miaka 25 na nina mpenzi wangu ambae tupo wote takribani miaka 4 sasa. Ila siku zote ana tabia ya kujiweka mbali bila kuwa na sababu maalumu au anakua na sababu ambazo hazina uzito. Naomba ushauri kwenu wapendwa kwasababu hivi karibuni amebadilika, alianza kupunguza mawasiliano kwa kutokuwasha simu siku nzima, nilipomuuliza alisema tu hana sababu maalum. Sasa hivi ameamua kuizima moja kwa moja na huwa ananitafuta mara moja kwa wiki na kuniambia ananipenda sana nimvumilie, ila matendo yake yapo tofauti na maneno yake. Juzi nikajiongeza nikadhani labda ana matatizo ya kifedha anashindwa kusema nikamtumia 5000 ili angalau kama anahitaji imsaidie. Aliipokea lakini baada ya kuona yupo kimya nikatuma msgs, zikawa delivered lakini akawa kimya, ikabidi nijaribu kupiga hakupokea na baadae akazima simu hadi leo hii ni siku ya 4. Sielewi labda nilikosea au labda anahitaji muda. But kwa miaka yote tulyokua pamoja lazima hii hali ijitokeze. Naombeni ushauri wapendwa.
Yeye yupo Bukoba. Mimi nipo Dar, kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu kwahiyo ni muda mrefu hatujaonana toka August. Na nlishawahi kumuuliza kwa nini kuna muda lazima awe hivyo alichonijibu ni kuwa nimvumilie tu, ananipenda na mm ndo mwanamke wake wa maisha. Ananipa wakati mgumu, na huwa anasema maneno hayo kila nkimuomba explanationMadam nasikitika kusema huyo jombaa hakupendi na anafanya hivyo ili wewe ujiongeze.
Nini cha kufanya?
Mtafute ongea nae live(sio kwa simu) mwambie yote ya moyoni.
Jiandae kisaikolojia maana kuna kila dalili za kuachwa.
Pole aisee.
Kama ulishawahi kumpenda mtu lazima utaelewa why inakua hivyo. And kama kweli ni hvyo kwanini asiache kunitafuta moja kwa moja lakini kuna muda anakua kama anajirudi na kuapia kuwa ananipenda sana. It's hard gHakupendi.
Hata mimi tu huwa kama nilikutongoza kwa kuendeshwa na NGEZI zangu lazima baadae nikuchezee michezo hii.
Huwa natamani uelewe Kisha usinitafute mazima sema ndo hivyo hamuelewagi aise sijui mpoje.
Nimekutext Kule maeneo. Njoo mara moja tujaribu kuliweka sawa hilo tatizo.Yeye yupo Bukoba. Mimi nipo Dar, kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu kwahiyo ni muda mrefu hatujaonana toka August. Na nlishawahi kumuuliza kwa nini kuna muda lazima awe hivyo alichonijibu ni kuwa nimvumilie tu, ananipenda na mm ndo mwanamke wake wa maisha. Ananipa wakati mgumu, na huwa anasema maneno hayo kila nkimuomba explanation