Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Mimi nikuambie kitu usichokijua kwa wanaume, katika kumtaka mwanamke wanaejua yupo na mtu wake hua haina shida kabisa na yaweza chukua mda mrefu tu kukutafuta na ukimzingua lakini akaja jua una mtu mwingine tofauti na huyo mtu wako unaemwambia apo ndo utajua kama kweli ni mpole na anakupenda kama usemavyo so chamsingi dada tulia ktk penzi lako ambalo halinashida yeyote.
 
Nilivyoona huu uzi nilijua tu lazima pesa itajwe, Unafikiria huku unakula pesa aisee!
 
kwani kula hela kunakufanya usivue chupi? kwani hela ina sumaku ya kukuvua nguo? acha kujitesa wewe pokea zawadi
Apana shosti siwezi nafsi yangu haikubali nahisi nampa tamaa ya kua na mimi wakati hakuna kitu kama hicho kwenye nafsi yangu..
 
hapo kuna kitu kimoja ambacho wew mwenyewe hukijui,,,,umesema huwa unamjibu vibaya pia unamtukana kwa sisi wanaume kutukanwa au kujibiwa vibaya na mwanamke haituumizi kichwa ila wew unakosea kitu kimoja tuu kula hizo hela zake wakati humpendi na ndo maana jamaa nae anakomaa tu kama humtaki acha kula zake akituma mrudishie uone kama atakufuata tena na kama unapenda hela zake mpe hiyo papuchii,,,halafu kula hela za mwanaume bila kuwa na mahusiano yoyote ni dalili za umalaya
 
Halafu watu wa namna yako ukijichanganya ukanipa nakufumua marinda kwa hasira.... Kisa cha kunisumbua kote huko na hela unakula!!!?
Duuh mkaushie bwana si unajua hawa wanawake wetu wa tz,
Mle papuchi yake taratibu na marinda usimguse usiwe na hasira kiasi hicho mkuu....
 
Huyo ana shida ndogo ndogo anazo taka na wewe umsaidie, jiongeze wewe!
 
Habari zenu wapendwa.
Nina mahusiano na Mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna Mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi, cha ajabu ambacho Nashindwa kuelewa kwa huyu Mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa Ila nmekua namwambia nina mahusiano na Siwez kuwa naye lakn hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lkn kakomaa tu na mm, ananitumia pesa kila baadae ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo. Me Nashindwa kumuelewa hyu Mwanaume ndo atakua ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.
Nipeni ushauri mwenzenu.
Kama hutaki bora, uwe ubamrudushia vijicent vyake kuliko kupokea alafu unamzungusha kugegeda
Mpe haki yake
Unambania ya nini? Au hujui ukifa papuchi inaoza na kua mali ya nchwa wanaitafuna bure
 
hapo kuna kitu kimoja ambacho wew mwenyewe hukijui,,,,umesema huwa unamjibu vibaya pia unamtukana kwa sisi wanaume kutukanwa au kujibiwa vibaya na mwanamke haituumizi kichwa ila wew unakosea kitu kimoja tuu kula hizo hela zake wakati humpendi na ndo maana jamaa nae anakomaa tu kama humtaki acha kula zake akituma mrudishie uone kama atakufuata tena na kama unapenda hela zake mpe hiyo papuchii,,,halafu kula hela za mwanaume bila kuwa na mahusiano yoyote ni dalili za umalaya
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom