Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

huyo jamaa mwingine una mahusiano nae muda gani?
kuna dalili ya ndoa? mfano utambulisho,mahari etc
na je yeye ni mtoaji?
 
endelea tu kumpa please wait
ila ipo siku utakuja kumpa pepo ipo siku nakuapia
 
Mmmmmmh,mie naogopa kula hela ya mwanamme,hawa viumbe wana mwanzo tuu mwisho wanaujua wenyewe...
 
Mmmmmmh,mie naogopa kula hela ya mwanamme,hawa viumbe wana mwanzo tuu mwisho wanaujua wenyewe...
kwani kula hela kunakufanya usivue chupi? kwani hela ina sumaku ya kukuvua nguo? acha kujitesa wewe pokea zawadi
 
Back
Top Bottom