Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

anataka papuchi afu akuache, na bwana ako ajue akuache!!
wanaume wengine wanatumwaga/ wengine wako kwenye research...

ila usiache mbachao kwa msala upitao.
mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba.
 
Let say ndio ukajua anakupenda sana...are you going to leave your boyfriend au? Usisahau mrejesho ukishagawa papuchi kwa sponsor
 
Anakuvutia kasi kwa kufanya investment ..mwanaume ni mawili mkubali ndo ule hela zake,ama mkatae na usichukue hata mia kwake,
 
Mwisho wako utakuwa mbaya sana kama hutokata mawasiliano naye haraka. Iwapo mpenzi wako atagundua na mkatengana jua ya kwamba ukienda kwake utakuwa ni wakutumiwa tu. Kwanza umeshamwambia unayempenzi hivyo na yeye atakuwa tayari ameshaweka booking mahali ila wewe anatamani aone kama ni ziwa tanganyika au ziwa manyara.

Kuwa makini,hakuna mwanaume anayewekeza kwa mwanamke bila kujua atapata faida gani
 
Usimkubalie mwanaume ambye ulimkataa kwa zaidi ya mwaka..iwe formulA yko hiyo bisha mkubalie ulete mrejesho hm.
 
Niliwahi kutumia mbinu kama hiyo kumpata mama watoto wangu.
Ilikuwa mwaka 2011 nilisumbuliwa akidai anamtu na jamaa nilikuwa namfahamu.
Sikukata tamaa pamoja na majibu mabovu ya kukatisha tamaa lakini hela ilikuwa inaongea.
Mwaka jana mwanzoni Mkono wa mwanadamu ukudondoka namimi fisi nikaokota.
Nashukuru vikao vinaendelea na mwezi wa tano harusi.
My advise Siku zote wanaume wa kweli na wenye nia wanasumbuka sana kwahiyo wapime vizuri wote na usimpe majibu ya kukatisha tamaa.
Pia jibu maswali ya Mis Natafuta.
Je uhusiano wenu ni wa muda gani?
Je una miaka mingapi?
Je umejuaje huyo uliyenaye kweli naye anakupenda what if akakengeuka unapakukimbilia?
Je kuna harufu ya ndoa? Hapo umewahi tambulishwa na kaleta barua?
 
mkuu...mimi ninachokuomba...usije ukaruhusu tamaa zikasababisha ukamvulia pichu huyo jamaa...maana atakuacha mapema uku ukiwa bado unamhitaji at the end utajikuta umeachana na mwanaume wako mliyetoka nae mbali...
 
Aaaaaa babe.... Mbona unanimwaga tena huku. Hayo mambo yetu ya sili mama lol sawa huwa nakupa pesa lakin hukupaswa kuzungumza huku umemwaga mchele kwenye kuku wengi.... Dah ukufanya poa hata kidogo
 
Kuna siku mbili muhimu katika maisha
1. Siku ya kuzaliwa
2. Na siku ya kugundua kwanini ulizaliwa
 
KWANI HUYO ULIYE NAYE WA CKU NYINGI ANA MPANGO WA KUKUOA? KAMA HUNA UHAKIKA JARIBU KUMGUSIA "HIVI TUTAOANA LINI"ILI UPIME MUELEKEO WAKO HUKO TUENDAKO.UKIONA HANA MUELEKEO,BASI JARIBU UCHUMBA KWA HUYU MWINGINE KAMA UNAVUTIWA NAYE,NA KAMA BADO YEYE HAJAOA.
 
Daaah, kuna demu nilimfukuzia kwa miaka miwili, kila wakati ananichomolea, huku analamba elfu 10, 20 zangu mara kwa mara. Akaja kunipa mechi mwaka wa tatu, aisee, sijui zile nguvu nilipatia wapi, nilimkung'uta hadi kuna wakati anataka kukimbia chumbani, anakuta mlango umefungwa na funguo nimetoa. Nilipiga round 4 kwa usiku mmoja kabla ya kulala, na alfajiri nikapiga moja ya kuamkia, na kila round ni kati ya dakika 35 hadi 45 ndo nakojoa. Na kila round lazima apige makelele mpaka machozi yanamtoka. Asubuhi ikabidi alale tuu maana alikuwa anachechemea. Baada ya hapo niliwaza sana nilichokifanya sikuwahi kufanya kwa mwanamke yeyote yule. Na sijawahi kupata nguvu na sijawahi kumgegeda mwanamke kwa style ile tena maishani.
 
Habari zenu wapendwa,

Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi.

Cha ajabu ambacho nashindwa kuelewa kwa huyu mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa ila nimekuwa namwambia nina mahusiano na siwezi kuwa naye lakini hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lakini kakomaa tu na mimi, ananitumia pesa kila baadaa ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo.

Mimi nashindwa kumuelewa huyu mwanaume ndo atakuwa ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.

Nipeni ushauri mwenzenu.
Kuna mtaalamu alisema "wanaokutaka ni kwa sababu hawajalala na wewe" hebu mkubalie tuone....
 
Back
Top Bottom