Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nachojarbu kuuliza hapa ni kwnn hakati tamaa wakat nishamwambia hali halisi. Hata mkinambia ananipenda siwez kuwa nae so chill Bro hucjipanikishe bure.
Wanawake ndo mlivo akibip mtu akaacha unasema kumbe hana mpango wowote
 
Unashindwa kumuelewa na bado anakutumia pesa zake unakula tu mwenyewe
 
...ndio maana wanaume tunashindwa kuelewa saikolojia ya wanawake, you don't like him...wakati mwingine unamtupia maneno machafu and yet, pesa zake huzikatai..SMFH!!
 
...ndio maana wanaume tunashindwa kuelewa saikolojia ya wanawake, you don't like him...wakati mwingine unamtupia maneno machafu and yet, pesa zake huzikatai..SMFH!!
teh pesa tamu
 
Mbona kwenye kupokea pesa hukuomba ushauri? Ukila vya mtu lazima nawewe uliwe
 
Habari zenu wapendwa.
Nina mahusiano na Mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna Mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi, cha ajabu ambacho Nashindwa kuelewa kwa huyu Mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa Ila nmekua namwambia nina mahusiano na Siwez kuwa naye lakn hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lkn kakomaa tu na mm, ananitumia pesa kila baadae ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo. Me Nashindwa kumuelewa hyu Mwanaume ndo atakua ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.
Nipeni ushauri mwenzenu.
Mpanulie mapaja
 
Kumbe una msimamo [emoji116]

√√Wanawake-5.7Billion
Wanaume-2.6Billion....
Hata kila mwanaume akioa wanawake wawil, watabaki wanawake Million 500 wako single....
[emoji117]Tunapowabembeleza ni kwa huruma tu.....
Sasa wewe endelea kudengua uje uolewa na Mende....

[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kama kweli avatar yako hapo juu ni wewe, subiria kupewa gari[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23]
 
USHAMPA NAFASI YA KUKUSUMBUA KWAKUA UNAKUBALI MISAADA KUTOKA KWAKE HIVYO BASI AMESHAKUSOMA VIZUR NA ANAJUA UTAKUBALI TU ..ACHA TAMAA MREMBO
 
Back
Top Bottom