Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

kwahiyo tukikwambia anakupenda unamuacha yule ulienae na unamfata huyu ama???
wanawake ni hatari sana aisee,,, unaeza kuta ushampa tunda hapa unatafuta uthibitisho wa kuwa anakupenda au laa ili umbwage mwingine!!!!
# k ni k tu hata kusaliti nako ki k
Nachojarbu kuuliza hapa ni kwnn hakati tamaa wakat nishamwambia hali halisi. Hata mkinambia ananipenda siwez kuwa nae so chill Bro hucjipanikishe bure.
 
Pesa sometimes tunawapa kuwasaidia inakuwa haina uhusiano na papuchi yako. Nikusaidiana tu (from experience)
 
Shikilia na tunza kwa nguvu zote ulichonacho mkononi vinginevyo uwe tayari kupoteza vyote.
Katika hali ya kawaida huyo jamaa atakuwa anataka papuchi tu na bahati mbaya umpe halafu akute tofauti na anavyodhania (kila mtu ana mtazamo wake binafs juu ya mwonekano wa mrembo) atakupiga chini siku iyo hiyo na utakosa wote.
"Mkubalie katika hatari yako jenyewe"
Asnte
 
hapo ni kama kamari labda anakupenda au lah...... we kama unamahusiano yako na yapo pouwa we tulia ana acha kupoekea zawadi japo mimi nisingeacha pesa
 
hivi wewe mwenyewe unajielewa,,,, unajua unataka nini ktk mahusiano??? unaye binadamu wako,,,,unampenda???je ni sawa kupokea pesa za binadamu ambaye unajua anakutaka na wewe una wako???? jichunguze sana mdogo wangu......shetani ana mbinu nyingi sana.....huyo mtu wako sio zoba kama unavyotaka kufanya....tulia nae mtengeneze maisha yenu...........kila la kheri...
Nashukuru
 
hapo ni kama kamari labda anakupenda au lah...... we kama unamahusiano yako na yapo pouwa we tulia ana acha kupoekea zawadi japo mimi nisingeacha pesa
Anatuma pesa tu, hajawai kutuma zawadi.
 
jamani kuna muda namjibu vibaya sana lkn kakomaa tu na mm, ananitumia pesa kila baadae ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo
Naona akikuambia kwa maneno matupu unaishia kumtukana tu ila akikutumia pesa humtukani kwa kukutumia pesa, wewe binti MUNGU anakuona!!
 
kuna kitu tunaita uwekezaji wa muda mrefu... sasa hapo jamaa anawekeza tu ila trust me ipo siku hizo gharama zake zitarudi tu kwa njia yoyote ile... ila wanawake bwana yaani ye haumtaki ila pesa yake unaipokea
 
Yani hapo ndo mtihani
Yaaani ujitengenezee mtihani mwenyewe harafu ukushinde we unapaswa upelekwe mirembe
Alipopokea fedha hakujua anahongwa na hanajua mwanaume anataka papuchi?
Mama mgei tu aisambaratishe
Mlikuja na uzi mnasema wanaume usipo nifumua marinda nimekuja geton kwako we kichwa maji na hufai
 
kuna kitu tunaita uwekezaji wa muda mrefu... sasa hapo jamaa anawekeza tu ila trust me ipo siku hizo gharama zake zitarudi tu kwa njia yoyote ile... ila wanawake bwana yaani ye haumtaki ila pesa yake unaipokea
Ssa nifanyeje, kurudisha siwezi. Kwnye tamthilia za kifilipino ndo wanarudisha lkn sio kibongo bongo
 
Ni kawaida sana kuwa na upendo wa aina ile hasa kwa mtu unayempenda sana.
Ilishawahi kunitokea, unampenda mtu siyo kwamba anakwambia ana mtu, hapana Unawaona kabisa wako pamoja na bado unafatilia,
that was crazy moment! Na in the end alipatikana!!
So huyo jamaa atakupata but remember
YOU ARE FREE IN YOUR CHOICE BUT YOU ARE NOT FREE FROM THE CONSEQUENCE OF YOUR CHOICE

hii tunaita Love a girl till she learn to love herself
 
Makosa ni yako,Hivi unaanzaje kutumia pesa ya mtu kirahisi ivo? Kama humpendi ni kwa nn unawasiliana nae? Ili iwe nini ? Yani hapo ndo wanawake hua nashindwa kuwaelewa kabisa, humaanishi unalolisema na kimsingi jamaa anajua weekness yako. Ipo siku utalipa hizo pesa zake kwani hakuna kitu cha bure.
 
Back
Top Bottom