Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Hawaachagi mpaka wapewe, mpe uone kama ataendelea, he he he he he! Unapokeaje vitu vyake? Hili ni kosa baya sana, si unaona anaanza zama moyoni taratibu?

Habari zenu wapendwa,

Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi.

Cha ajabu ambacho nashindwa kuelewa kwa huyu mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa ila nimekuwa namwambia nina mahusiano na siwezi kuwa naye lakini hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lakini kakomaa tu na mimi, ananitumia pesa kila baadaa ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo.

Mimi nashindwa kumuelewa huyu mwanaume ndo atakuwa ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.

Nipeni ushauri mwenzenu.
 
Kama huna mpango nae, akituma hela mrudishie hapo ndio mwisho wa usumbufu wake maana unapo kula hela yake anajua ipo siku utakubali tu, halafu ukikubali atakudharau sana maana ana mtegemeo makubwa na mwili wako lkn huenda asipate anavyo vitaka
 
Habari zenu wapendwa,

Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi.

Cha ajabu ambacho nashindwa kuelewa kwa huyu mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa ila nimekuwa namwambia nina mahusiano na siwezi kuwa naye lakini hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lakini kakomaa tu na mimi, ananitumia pesa kila baadaa ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo.

Mimi nashindwa kumuelewa huyu mwanaume ndo atakuwa ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.

Nipeni ushauri mwenzenu.
WAnawake watu wa ajabu sana,hapo unaweza kuja kumwacha mtu wako wa mda mrefu kisa mtu uliekutana nae mda mfupi,
 
Pole sana kwa changamoto unayopitia. Ipo njia ya kutatua hili. Kuna mambo napenda kukushirikisha.

1. Kuwa na mpenzi si mwisho wa kupendwa:

Maadamu Mungu amekuumba mwanamke, amekupa sifa zote, kila siku watatokea watu watakaovutiwa na wewe.
Lakini, jambo la msingi kukumbuka kila wakati ni kwamba, 'Kupenda ni kuchagua'. Kuna wanaume wengi sana duniani. Lakini umemchagua huyo uliyenae sasa. Na kwa sababu umemchagua yeye, jenga msimamo ndani yako wa kutoyumbishwa na jambo lolote, kitu chochote au mtu yeyote.

Katika mahusiano, msimamo ni kitu cha muhimu sana. Kwa sababu kila siku wanazaliwa watu wenye sifa nzuri kumzidi uliyenaye, wenye pesa kumzidi uliyenaye, wenye muonekano kumzidi uliyenae, na wenye elimu kumzidi uliyenaye. Sasa, kitakachoweza kukusaidia kwenye mazingira ya namna hiyo, ni msimamo. Ukiwa na msimamo, huwezi kuangalia kushoto kuna nini. Ukiwa na msimamo, huwezi kuangalia kulia kuna nini. Ukiwa na msimamo, utamtazama mpenzi uliyenaye na kuambatana naye milele.

2. Si kila anayekufuata bila kukata tamaa anakupenda, au ana nia nzuri na wewe.

Kumbuka, hata shetani hamkatii mtu tamaa mpaka ahakikishe amempata na kumuangamiza.
Bila shaka, unataka kuwa na mwanaume wa maisha yako, mwanaume ambaye hatakuvunja moyo mbele ya safari. Basi nakushauri, usimpe nafasi huyo kijana anayekutaka pamoja na kwamba anajua una mpenzi. Mwanaume anayejitambua, na mwenye malengo na nia nzuri, hawezi kumtaka mtu ambaye tayari ana mpenzi. Shika ulicho nacho. Baki ulipo, na Mungu atakusaidia. Usigeuke nyuma, usiangalie kushoto wala kulia, songa mbele na uliyenaye.

3. Usipokee pesa yake kwa sababu fedha ina nguvu kuliko moyo wa mtu.

Yuda alikubali kumsaliti Yesu kwa sababu ya fedha. Moyo wake uligeuka kwa sababu ya fedha. Ukiendelea kupokea fedha kutoka kwa huyo kijana, mwisho wa siku utajikuta upo naye hata kama hukuwa na mpango wa kufanya hivyo.
Hivyo basi, nakushauri, "funga mlango". Kubali kuanza chini, ili Mungu akuinue kwa wakati wake. Ambatana na mpenzi uliyenaye. Hata kama hana fedha, huwezi kujua Mungu amepanga nini kwenye maisha yake. Huwezi kujua kesho atakuwa nani. Ambatana naye.

4. Kata mawasiliano na huyo kijana.

Anapata nguvu ya kuendelea kukufuata kwa sababu kuna mlango umeufungua kwa ajili yake. Yeyote utakayemfungulia mlango ataingia. Hivyo basi, Funga huo mlango. Muoneshe kwamba upo mahali sahihi, na mtu sahihi na kwa muda sahihi. Mpinge shetani naye atakukimbia.

MWISHO, ninaamini kwa mchango huu, na michango ya wengine, utapata kitu cha kukusaidia. Nakutakia kila lililo jema. Mungu akubariki na kukufanikisha na kukupa amani.
 
Mpe tu.... Kwani ataondoka nayo..
 
Still you have guts kupokea hela, unakula na kuja hapa kutuuliza ushauri ?? Jasho la mtu halipotei bure subiri tu labda nawe uombe ulinzi 🙂
 
Habari zenu wapendwa,

Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi.

Cha ajabu ambacho nashindwa kuelewa kwa huyu mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa ila nimekuwa namwambia nina mahusiano na siwezi kuwa naye lakini hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lakini kakomaa tu na mimi, ananitumia pesa kila baadaa ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo.

Mimi nashindwa kumuelewa huyu mwanaume ndo atakuwa ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.

Nipeni ushauri mwenzenu.
Mna mahusiano nae kwa muda gani
 
trust me huyo mwanaume uliempata ni fala mnooo na ni ms**ge, ungekutana na mtu ka mm hata kama ningekugegeda sana sanaaa ungeishia kupata elf 1 miss_blossom
 
Yaani
Habari zenu wapendwa,

Nina mahusiano na mwanaume wangu kwa muda mrefu sana ila kuna mwanaume mmoja alinitokea akawa ananipenda sana lakini sijawahi kumkubalia zaidi uwa tunawasiliana tu, ananisaidia vishida shida tena bila kumuomba, ni mkarimu mpole na hana maneno mengi.

Cha ajabu ambacho nashindwa kuelewa kwa huyu mwanaume amenitaka kwa muda mrefu sana sasa ila nimekuwa namwambia nina mahusiano na siwezi kuwa naye lakini hakati tamaa jamani kuna muda namjibu vibaya sana lakini kakomaa tu na mimi, ananitumia pesa kila baadaa ya muda ananiambia zitanisaidia shida ndogo ndogo.

Mimi nashindwa kumuelewa huyu mwanaume ndo atakuwa ananipenda sana au atakua ana shida zake tu anazozijua yeye.

Nipeni ushauri mwenzenu.
Yaani hiyo ndiyo dawa yenu mwanaume halisi haeleweki

Ukimwelewa tu jua Tayari siyo mwanaume halisi

Na wanaume wasio halisi ndiyo mnaowapenda na kuwapa fasta fasta

Hafu mnakuja mnalia huku

We mpe aibandue tu si anakusaidia unapokea Kwa Nini usimsaidie wewe aibandue

Da ungekuwa karibu ningekupiga kichwa kimoja chari
 
Back
Top Bottom