El'son
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 380
- 324
Kama huna tatizo unapokea hizo hela za nini pia wawasiliana nae ili iweje. Hujui jinsi unavyowasiliana nae ndio unajenga hatari zaidi kwenye mahusiano yako. Mbaya zaidi unazidi kuweka ukaribu wa wewe kuliwa kirahisi.Me sina tatizo na mpnz wangu niliyenaye tunaeshimiana na tunapendana sana.
Hufikirii kuwa mpenzi wako anayekupendz akijua atajiskia vibaya na hata kama alikuwa mwaminifu kwako nae ataanza tabia mpya. Fikiria kabla ya kutenda ridhika na uliye nae avha kutapatapa.
Kama ungekuwa na matatizo na mpenzi wako kidogo ningekuelewa kuwa upo njia panda. Na huyo anayekwambia kuwa huyo mpenzi mpya anaweza kuwa ndio uliyelangiwa anakuongopea. Muwe mnaridhika upendo hauji kwa kutumiwa vijipesa hata kidogo.