Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Acha wendawazimu wewe, mpe shemeji kazi achana na mchepuko hautakusaidia kitu
 
Hivi ni kweli kuchepuka ni lazima?
Ni kweli kwamba hakuna wanaume waaminifu kwenye ndoa?????
hayupooo kaka yangu mkewe wa pili ni mzuriiiii sasa kaka kaanza kuchepuka mtaa mzima wanamsema! Nikamuuliza kaka mbona una wake wazuri kwa nn unachepuka tena na mwanafunzi akajibu " kicheko kikubwaaaa ahaaaa ambao hawachepuki hawana hela ila mdogo wangu skia hakuna mwanaume ambae hachepuki, kipindi namuoa wifi yako wa pili nilivutiwa na weupeeee wale ila huyu mtoto kanichanganya ngozi yake nyororo nyeus sijui nikwambieje? Ukiolewa utayaona" tangu siku hiyo akawa ananipa vitu nampelekea mchepuko maana hakuna namna!
 
Kiasili wanaume hatukuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja ila step kubwa ni kujitahidi kumuona uliyenae ni best of all na hapo ndipo utaweza kustahimili yote.......

Toka nimezaliwa nimeshawahi kumuona mwanandoa mmoja tu ndo hana mchepuko...

katika wachepukaji kuna wale ambao hujidhihirisha maana hata huduma za ndani hupungua ili kuuhudumia mchepuko na pia kuna wale ambao wao hawaoneshi dalili zozote (hii hutokea kama mke katulia sana na huwa hana tabia ya kujichanganya)..

KUNGURU HAFUGIKI NA HATA UKIMFUGA HAWEZI KUGEUKA NJIWA
 
badala ya kumshauri aachane na uzinzi un amfundisha mbinu za kuendelea na uzinzi
kaka mtafutie shemeji yako kazi ili uachane nae katika ku msapot .Mungu anapenda uache huo uzinzi
Kwani ameoa ukoo mzima hadi ajitwishe jukumu la kuwa sapoti?
Akakae kwao, kama kutoka atatoka kivyake kama dada yake alivyotoka, kwa kumualika mdogowe huyo mkewe ni sawa amekaa kwenye uelekeo wa mdomo wa bunduki, risasi ikifyatuliwa ikimpata msilalamike.

Ingawa hivyo nilitoa angalizo kuwa mbinu hiyo haimpendezi Mungu kwa maana ni ya kishetani, SOMA KATIKATI YA MISTARI.
 
mpe kazi shem aise maisha magumu haya na hii serikali ya mjomba magu.... ndoo kabisa msaidie shem tuu huwezi jua mbeleni..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom