Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Hii ninayokupa ni mbinu ya kishetani,
Mpe sharti kuwa awe msiri wako japo once ili aikwae kazi, akiwa msiri wako na siri zako zingine atazihifadhi hatazifikisha kwa my wife wako.😀
Kbsaaaa na akithubutu kumwaga mboga basi unammwagia ugali abaki njaa.
 
Hii ninayokupa ni mbinu ya kishetani,
Mpe sharti kuwa awe msiri wako japo once ili aikwae kazi, akiwa msiri wako na siri zako zingine atazihifadhi hatazifikisha kwa my wife wako.😀
Kamwe...!!!
 
Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.

Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??
Shemeji kumbe unanizingua mpango wa kazi sababu ni hiyo? nifanyie mpango ntatunza siri i promise.
 
Hawezi kuharibu....! Issue umuambie ukweli tu kuwa ana dada zake wengine hapo job...!
 
Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.

Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??
Hongera una nyumbamba ndogo!!!
Wanaume wa kichina mnaboa sana hata ujinga huu unauleta kama jambo la fahari vile!!!
 
Dah kazi mpe ila atasema coz akianza kazi atakuwa na mashoga tena ataanza kuwaleta kwako hao ndo chanzo trust me atasemaaaaa! Afu kwa nn hukumtaftia kazi sehemu nyingine? Yaan kazi ya kufanya na ndugu sio nzuri mara nae atakuanzishia vitibwi
mm staki kuhoji kwa nn unachepuka kwa sababu kaka yangu alishanipaga majibu kuwa hata mwanamke awe mzuriiii kiasi gani lazima mwanaume achepuke na sina tatizo lolote na mtu akichepuka kwa heshima.

Nisihukumu ila huyo dada anaweza kuwa chanzo cha ugomvi kwenye ndoa yako coz si sasa hivi anabanwa na dada yake, akianza kazi atakuwa anakutega kwenye gani nawe utategeka mchepuko wako akijua ni zaidi ya shida,

ushauri embu kwa garama yeyote mtaftie sehemu nyingine fasta
Hivi ni kweli kuchepuka ni lazima?
Ni kweli kwamba hakuna wanaume waaminifu kwenye ndoa?????
 
Hii ninayokupa ni mbinu ya kishetani,
Mpe sharti kuwa awe msiri wako japo once ili aikwae kazi, akiwa msiri wako na siri zako zingine atazihifadhi hatazifikisha kwa my wife wako.😀
badala ya kumshauri aachane na uzinzi un amfundisha mbinu za kuendelea na uzinzi
kaka mtafutie shemeji yako kazi ili uachane nae katika ku msapot .Mungu anapenda uache huo uzinzi
 
Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.

Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??
Kweli we msema kweli, umesema ukweli wa moyo wako!
 
Nakushauri kaka angu, kuwa mwaminifu ktk ndoa yako. Pia kila mtu duniani hapa ana harakati zake, Leo tajiri wewe, na kesho utakua maskini wewe pia, na hutajua atakayekusaidia. Mtafutie kazi Shem wako, na rudisha mapenz yote kwa mkeo.
Labda nikuulize, vp wewe ukichukuliwa mke?
Umemshauri vema, hongera
 
Kwani huo mchepuko wako umeuambia kwamba wewe uko singo? Si muwe mnavunga mambo yenu mkafanyie sehemu nyingine? Au ndo ofisi nzima wanajua mahusiano yenu...kama ndo hivyo mtakuwa maboya watu mnajijua mnaiba af mnajianika[emoji23]
Upo vizuri. Talking from experience!
 
Dah ! Kuna watu wakifa sijui wataenda kujibu nini kwa Mungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom