KICHUNGWANI
Senior Member
- Jan 20, 2016
- 135
- 96
Fanya iwe siri kama ni shemegi yako na unapenda mchepuko chepuka nae kwanza kisha mpe ajira uone kama ataenda kumwambia mkeo kitu chochote
Mwache achepuke bana Kwan SI starehe zake, usipende kuingilia faragha za watu, kila mtu na maisha yakeNakushauri kaka angu, kuwa mwaminifu ktk ndoa yako. Pia kila mtu duniani hapa ana harakati zake, Leo tajiri wewe, na kesho utakua maskini wewe pia, na hutajua atakayekusaidia. Mtafutie kazi Shem wako, na rudisha mapenz yote kwa mkeo.
Labda nikuulize, vp wewe ukichukuliwa mke?
M nimekufuata pm mkuu....naomba nisaidie
Ingekua hvo unavyofkiria asingetuma post ya kutaka ushauri. Na hata hvo , mhusika niliyemshauri hvo hakunijibu ulivyojibu wewe. What if ungepost wewe??????Mwache achepuke bana Kwan SI starehe zake, usipende kuingilia faragha za watu, kila mtu na maisha yake
wanaongeza mwaka ndani ya kipindi kisichofika mwaka!"Walioko ndani ya ndoa chini ya miaka mitatu na wale ambao hawajaoa/kuolewa, hawawezi kujua kwa nini tunacheat"....nimeondoka na hilo tu, mwanzo niliambiwa walioko ndani ya ndoa chini ya miaka miwili, leo wameongeza mwaka...
M nimekufuata pm mkuu....naomba nisaidie
Ha ha ha haaaa..huishiwi vituko wewe mtu.Sasa skia...Tena skiliza vizuri maana sirudii mara mbili...Cha kufanya ni hiki.......Nenda chooni ukajisaidie big need halafu toka bila kunawa.....Ukishafika hapo nje kata kulia..Nyoosha weeeeeeee....Halafu simama hapo hapo....
Utaniambia mwenyewe matokeo yake......Lazma Yanga ishinde tu
Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.
Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??
Easy......mchakate kwanza Shem ndo umpe kazi. Atakuwa anakuheshimu na atakuwa anajishtukia, wewe unateleza tu na umalaya wako.Katika hali inayonisikitisha shemeji yangu kamaliza economics chuo flan, sasa hapa kazini kwangu kuna post ambayo mimi naweza kufanya makeke nimuingize kwenye post hiyo kwa kuwa mimi ndio mkuu wa idara na nimeambiwa nichague mtu ninaye mtaka.
Tatizo hapa ofisini nina nyumba ndogo yangu tunakaa vizuri kabisa, sasa najua nikimleta shemeji hapa habari zote zitafika kwa dada yake nyumbani yaani ataharibu timing zangu zote, kama bwai na iwe mbwai atafute kazi sehemu nyingine huko.
Au mnasemaje wadau??
umequalify vigezo alivyomention au unaforce ligi!?naona ushafanya decision tayari! hapa unatafuta justification tu. but one day utakuja kuumbuka au wakafaham ukweli tu, otherwise kama huna mazoea ksbsa kati ya family yako na wafanyakazi wenzako.