Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Nashindwa kumtafutia shemeji kazi

Nakushauri kaka angu, kuwa mwaminifu ktk ndoa yako. Pia kila mtu duniani hapa ana harakati zake, Leo tajiri wewe, na kesho utakua maskini wewe pia, na hutajua atakayekusaidia. Mtafutie kazi Shem wako, na rudisha mapenz yote kwa mkeo.
Labda nikuulize, vp wewe ukichukuliwa mke?
Nyumba ndogo haziwezi kuisha duniani,zimekuwepo enzi na enzi,kizazi na kizazi toka miaka hiyo,tena sie tumepunguza vimichepuko vitano tu,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkato is loading.................................
 
Hii design unatubeba hivi. Kama unaweza pull strings kiasi hicho hapo kazini kwako, then ungekuwa na uwezo wa kufanya hivyo ofisi zingine through connections. Either kwa shemeji, au mchepuko.

Ofisi gani kwanza hiyo, wanakuambia weka yeyote utakayeamua?
Wakubebana hao
 
Hivi ni kweli kuchepuka ni lazima?
Ni kweli kwamba hakuna wanaume waaminifu kwenye ndoa?????
Sio lazima kuchepuka na wasio chepuka wapo wengi tu japo michepukaji imezidi. Hii ni tabia ya mtu tu
 
acha uoga mkuu, kwani huyo shemeji yako ni mtoto mdogo hadi akaseme, ila kifupi baki njia kuu mitandao sio mizuri kabisa
 
Mkuu nchi ilishaoza hii mtu anajilipa mishahara ya watu 17 unashangaa mimi kumuajiri ndugu yangu hahaa
 
Nakushauri kaka angu, kuwa mwaminifu ktk ndoa yako. Pia kila mtu duniani hapa ana harakati zake, Leo tajiri wewe, na kesho utakua maskini wewe pia, na hutajua atakayekusaidia. Mtafutie kazi Shem wako, na rudisha mapenz yote kwa mkeo.
Labda nikuulize, vp wewe ukichukuliwa mke?
hujanionee mzaramo huku
 
Hii design unatubeba hivi. Kama unaweza pull strings kiasi hicho hapo kazini kwako, then ungekuwa na uwezo wa kufanya hivyo ofisi zingine through connections. Either kwa shemeji, au mchepuko.

Ofisi gani kwanza hiyo, wanakuambia weka yeyote utakayeamua?

...swali zuri, japo wengi wameshauri tu bila kuhoji swala la msingi kabisa. Ofisi gani hiyo mtu anaruhusiwa "kuweka anayemtaka"?
 
Mpe shemeji kazi wewe alaf umchimbe mkwara na umatambulishe kwa bi mdogo kabisa.Kazi siku hizi shida ndugu yangu usibane hiyo nafasi kisa mchepuko iko siku shem atakusaidia.
 
Hii ninayokupa ni mbinu ya kishetani,
Mpe sharti kuwa awe msiri wako japo once ili aikwae kazi, akiwa msiri wako na siri zako zingine atazihifadhi hatazifikisha kwa my wife wako.😀
Hakuna siri ya watu wawili na hakuna marefu yasiokuwa na ncha!
Ipo siku tu kitanuka wala usimshauri hivyo mwenzio!
 
Yaonesha kuwa weye ni paka shume, huenda huyu shem unataka naye umshem kwa dadake. Hayo mengine mbona kisingizio tu. Kakuambia nani kuwa ataenda kumwaga sumu kwa dadake? Weye umemsaidia kutoka halaf akakuseme, huo ni uongo
 
Pole sana.. naelewa tatizo lako... fanya hivi.. huyo nyumba ndogo fukuza hapo akatufute kwingine... weka shemeji yako hapo..
 
Hii ninayokupa ni mbinu ya kishetani,
Mpe sharti kuwa awe msiri wako japo once ili aikwae kazi, akiwa msiri wako na siri zako zingine atazihifadhi hatazifikisha kwa my wife wako.😀
Mwanamke hawezi kutunza siri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom