Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Mkuu Mjinga Wewe, mimi sio msomi, ni Mwananchi tuu wa kawaida.
Happy New Year!
P
Happy new year P ! ..shida ni elimu ya uraia ... Nani anatoa !? Je hio Elimu ni ngumu kiasi gani !? Otherwise tutaumia Kwa kutojua (ujinga wa kujitakia!?) ... Kufanya siasa (za karaha) na Rais alieko kene kiti ni risk sana maana vyombo vikitafsiri tofauti ni htr... Kufanya siasa mizaha!? ya kimagharibi (kumrushia Rais kiatu !!?) huku Africa - Uandike wosia kbsa... Hilo jina tuu Amir Jeshi Mkuu - kunatakiwa elimu ya uraia has a Kwa wanasiasa vijana.. Nalaani kupigwa na kushambuliwa Mh Lisu
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.


Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P

Kwanini hawajajulikana?
 
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kuna wengine pia; kama aliehusika na kuondoa walinzi wote eneo lile, alieficha CCTV camera na Mwita Waitara ambae kwa maelezo yake inaonekana 'aliona' Lissu alikuwa amegeukia wapi wakati akishambuliwa.
 
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Hujaelewa au hujasoma vizuri mada, kitendo chake cha kukaa kimya kwenye tukio kubwa kama lile inaleta ukakasi mkubwa. Na mleta mada amesema hapo mwanzo amiri jeshi mkuu ni mfariji kwa wanainchi wake. Tulitegemea statement yake ya faraja
 
Tamthilia ya blacklist zinawadangany sana , yaan kila kitu mnahisi real , sitak kujitambulisha so muhimu sn ila amin mtu yyt anaeweza kuwa na access ya hizo taarifa nyeti huez kumkuta humu jf akiropoka tu , wengi wenu ni form 6 leavers ndo mnakuja kusumbua watu huku , bure kbs
form six leaver? Daaah kwa akili hizo ngoja nikae kimyaa!!
 
Kuzuia matibabu na kumnyima haki zake za kibunge, hilo nalo vipi? Wabunge wa CCM na wana CCM wengine kuzuiwa kwenda kumuona Nairobi nako ni sehemu ya upelelezi? Hujui hadi leo wabunge wengi wa CCM na wana CCM wengine wanaumia sana kushindwa kwenda kumuona Nairobi?

Muacheni abebe mzigo wa dhambi mwenyewe, msimsaidie kwa jambo msilolijua.
Yeye aliye jipya haki za matibabu sasa yuko 6ft under.
 
Ukweli ni nini ? Nani anapaswa kuamua jambo fulani ni ukweli au si ukweli?
Inshu sio kukosoa inshu ni kuongea ukwel , wakosoaji wengi ndo wale wanapinga brt , ununuzi wa ndege ( ili tuendele kuyanufaisha mashirika ya kigeni) , ujenz wa bwawa la umeme eti tunaua viumbe hai kana kwamba wao hawalagi nyama sijui hizo nyama zinaota shambani , pia hao hap wakosoaji ndo wale walipinga sgr
 
Hii nchi sio ya kidini, haiendeshwi kwa mujibu wa Bible au kitabu kingine chochote cha dini, inaendeshwa kwa demokrasia, katiba na utawala wa sheria.
Hiyo ni kanuni ya kiutawala mjomba!
Hata kwenye Bible imedhihirika nini anapaswa kufanyiwa apingaye mtawala.

Hata Mungu alimshusha kuzim malaika muasi Shetani baada ya kutaka kujaribu kumpinga Mungu!

Hata wewe ukipata nafasi ya kua Mtawala lazima baadhi ya wanaokupinga bila adabu lazima uwasimike kaburini. Wala hautakua Mtawala wa kwanza kufanya ivo.

Mpinzani yeyote Yule hatofautiani na Shetani. Kila jema ni kupinga tu!

Sasa hapo unafikiri itakuaje! Ni kushonwa risasi kama zote tu!

Ni kanuni mjomba za kiutawala tangu dunia inaumbwa.
 
Happy new year P ! ..shida ni elimu ya uraia ... Nani anatoa !? Je hio Elimu ni ngumu kiasi gani !? Otherwise tutaumia Kwa kutojua (ujinga wa kujitakia!?) ... Kufanya siasa (za karaha) na Rais alieko kene kiti ni risk sana maana vyombo vikitafsiri tofauti ni htr... Kufanya siasa mizaha!? ya kimagharibi (kumrushia Rais kiatu !!?) huku Africa - Uandike wosia kbsa... Hilo jina tuu Amir Jeshi Mkuu - kunatakiwa elimu ya uraia has a Kwa wanasiasa vijana.. Nalaani kupigwa na kushambuliwa Mh Lisu
Huelewei maana ya elimu ya uraia. Elimu ya uraia sio kwa ajili ya kuwafanya watu sycophants kwenye nchi yao bali ni kwa ajili ya kuwafanya watambue uhuru wao, haki zao na wajibu wao kikatiba ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wanapofanya kinyume na matakwa ya walio wengi.
 
Mimi ninatamani niende na Bulldozer kwenye kaburi lake nikatifuetifue kwa mambo aliyonifanyia wakati wa Uchaguzi mkuu wa 2020.
Siku inakuja. kaburi lake litafukuliwa na kiharibiwa kwa aibu. Huwezi kufanya unyama ule alaf uende zako tu kwa amani.
 
Back
Top Bottom