Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Hilo la kusamehe umesema vema. Hilo la hakuna ushahidi wa Magu kumpiga risasi lisu unajua unaongopa. Kuna ushahidi usiotia shaka alituma watu wamuue.
Tuletee ushahid wwte uliokuwa nao , JPM hayupo dunian
 
Kwa hyo suluhisho ni KUWAUA?
Inshu sio kukosoa inshu ni kuongea ukwel , wakosoaji wengi ndo wale wanapinga brt , ununuzi wa ndege ( ili tuendele kuyanufaisha mashirika ya kigeni) , ujenz wa bwawa la umeme eti tunaua viumbe hai kana kwamba wao hawalagi nyama sijui hizo nyama zinaota shambani , pia hao hap wakosoaji ndo wale walipinga sgr
 
Na Mungu alivowaajabu sasa leo magu ni maiti Tundu ni mzima. Kwel hakuna zaidi ya Mungu. Mungu aliufanya moyo wa pharaoh kua mgumu ili kumpeleka katika mauti yake. Vivyo hivyo alifanya kwa dikteta wetu uchwara.
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.

Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
Rais wa nchi anaongea kirahisi tu tukio kama lile wee vp
 
wanasema msamaha sio kwa ajiri ya unayempa,ni kwa ajiri yako mwenyewe.

1.katika hili huna ushahidi wa moja kwa moja kwamba alihusika au laah,unajipa mzigo mziti kuubeba.
2.hhapungukiwi na chochote,unajipa umuhimu usiokuwa nao.

3.hakuna aliyekuuliza au kukuomba umsamehe,unajipa umuhimu usiokuwa nao pia.

kama hutasamehe kwa faida yako,ni chuki yako inatakayokuua mwenyewe,maana kila sehemu anasifiwa tu.
Anahusika aliongea nn siku anapokea ripoti ya makinikia.
 
Mbunge anapigwa risasi eneo la bunge lakini mpaka leo hakuna taarifa ya uchunguzi juu ya tukio hilo, imagine

Inaingia akilini kweli?
 
Mimi simtetei mtu kwasababu ni kabila langu, namtetea kwa haki only pale anapoonewa au kusingiziwa.

Kuna utaratibu wa referrals za serikali, baada ya kupatiwa huduma ya kwanza pale Dodoma hospital, ni madaktari wa pale ndio walipaswa kutoa referrals ya ama ahamishiwe MOI, ama apelekwe nje ya nchi, tena kwa case yake ya mifupa, a angekuwa referred Ujerumani kwa mabingwa wa mifupa!.

Uamuzi wa kumhamishia Nairobi hospital ulifanywa kisiasa bila kufuata the laid down government referrals procedures, hivyo serikali was right kugomea kugharimia matibabu on governmental reasons, but bado ingeweza kugharamia on humanitarian reasons lakini unajua sababu

Hapa sasa tujifunze kutenganisha mihimili, Bunge ni Mhimili, lina taratibu zake na halingiliwi!. Ule ni uamuzi wa Bunge, usimsingizie marehemu!.

Ila kwa vile Mkuu wa Mhimili wa Bunge ni sahiba na Mkuu wa The Executive, kama walipigiana simu wenyewe wakaambiana, hili sio letu, ila mwisho wa siku si matokeo tumeyaona!. Msimshutumu marehemu kwa makosa ambayo sio yake!.
p
Unasemaje kuhusu hizi kauli zake kuntu

1. "Washughulikie ndani ya bunge wakose pa kusemea ili wakija kusumbua nje ya bunge niwashughulikie"

2. "Watu wa namna hii wanaopinga...... they dont deserve to live" Na kesho yake Tundu akachabangwa risasi za kutosha...
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Lisu alipata alichokitafuta nchi Hii haitaki Utopolo wa mtu kama lisu, Lisu ni Shoga hana lolote.
 
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hawa hata uwaambie nini hawawezi kukuelewa. Walishakaririshwa kama CD iliyorekediwa nyimbo huwezi kuzifuta. Walishajazwa chuki kwenye akili na mioyo yao.

Wao wanaamini tena bila ushahidi kwamba Lissu alipigwa risasi na magufuli, Ben saa 8 alipotezwa na magufuli, kuna watu walikua wanauawa wanatupwa kwenye viroba na Magufuli, Vilevile magufuli ni fisadi aliiba 1.5T. Sasa Magufuli amekufa tuonyeshwe basi huo utajiri wake alioupata kwa kuiibia nchi. Maana 1.5 T siyo hela ndogo, lazima angekua tajiri kuliko wote nchini.

Ukiuliza Ben saa 8 apotezwe kwa lipi? Hakua kiongozi wa chama wala tishio kwa Serikali bali alikua ni mkosoaji wa mitandaoni kama wengine. Lakini wanasahau kuwa Ben alikua Msaidizi wa mbowe na siku zake za mwisho aliondolewa kwenye hiyo nafasi kutokana na kushukiwa kwamba ni undercover anatoa siri za chama, akaenguliwa pia kugombea Uenyekiti BAVICHA, baadae akapotea mzigo akatupiwa magufuli.

Watu wanaosemekana kuuawa na kuwekwa kwenye viroba, hadi Leo hatujawahi kusikia ndugu wamejitokeza tu kudai kupotelewa na wapendwa wao. Hakuna maiti iliyotambuliwa hata moja kama ni ya mtanzania wa hapa. Lakini mzigo akaangushiwa magu.

Lissu alipigwa risasi ndiyo, lakini mpaka leo Dereva wake aliekua nae amefichwa. Dereva huyu hakupata hata mchubuko wa risasi na alikua pembeni yake. Kwanini anafichwa wakati yeye ndo shahidi muhimu wa kueleza kilichotokea. Chakushangaza watu hawajiulizi haya, badala yake anatupiwa mzigo Magu.

Kama kweli magufuli alihusika na shambulio la Lissu kwanini mpaka leo hawezi kurudi nchini akihofia usalama wake wakati mbaya wake ameshakufa. Sasa tujiulize anawahofia kina nani?
 
Mimi simtetei mtu kwasababu ni kabila langu, namtetea kwa haki only pale anapoonewa au kusingiziwa.

Kuna utaratibu wa referrals za serikali, baada ya kupatiwa huduma ya kwanza pale Dodoma hospital, ni madaktari wa pale ndio walipaswa kutoa referrals ya ama ahamishiwe MOI, ama apelekwe nje ya nchi, tena kwa case yake ya mifupa, a angekuwa referred Ujerumani kwa mabingwa wa mifupa!.

Uamuzi wa kumhamishia Nairobi hospital ulifanywa kisiasa bila kufuata the laid down government referrals procedures, hivyo serikali was right kugomea kugharimia matibabu on governmental reasons, but bado ingeweza kugharamia on humanitarian reasons lakini unajua sababu

Hapa sasa tujifunze kutenganisha mihimili, Bunge ni Mhimili, lina taratibu zake na halingiliwi!. Ule ni uamuzi wa Bunge, usimsingizie marehemu!.

Ila kwa vile Mkuu wa Mhimili wa Bunge ni sahiba na Mkuu wa The Executive, kama walipigiana simu wenyewe wakaambiana, hili sio letu, ila mwisho wa siku si matokeo tumeyaona!. Msimshutumu marehemu kwa makosa ambayo sio yake!.
p
Miaka kam 8 iliyopita walikuwa wanakuheshimu ila sasa nawe umeshaona heshima yako imetupwa ktk jalala, sasa badala ya kuirejesha bado ndo unataka uzeeke kama takataka.

P ni hivi ndugu yako haandamwi tu kwa kusingiziwa bali yeye kama Rais alipaswa kuonesha maana ya Urais katika tukio baya kama la Lissu hata kama angelikuwa hahusiki.

Ona maneno yako ya kinafiki halafu "kila binadamu mwenye roho ya Mungu atasikitishwa na tukio hilo kinyume chake ni ibilisi"

ulinganishe na aliyoyafanya ndugu yako.

1.Alikataa hata maombi ya kumwombea mgonjwa kwa Mungu ili amponye.
2. Kwa uhakika aliwakataza wabunge na mawaziri kwenda kumpa hata pole mh Lissu. Na vitiimbwi bingo tu.

Hivyo utakubaliana na sentensi yako kuwa basi nduguyo huyo alikuwa na roho ya shetani.
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kanuni ya kiutawala mjomba!
Hata kwenye Bible imedhihirika nini anapaswa kufanyiwa apingaye mtawala.

Hata Mungu alimshusha kuzim malaika muasi Shetani baada ya kutaka kujaribu kumpinga Mungu!

Hata wewe ukipata nafasi ya kua Mtawala lazima baadhi ya wanaokupinga bila adabu lazima uwasimike kaburini. Wala hautakua Mtawala wa kwanza kufanya ivo.

Mpinzani yeyote Yule hatofautiani na Shetani. Kila jema ni kupinga tu!

Sasa hapo unafikiri itakuaje! Ni kushonwa risasi kama zote tu!

Ni kanuni mjomba za kiutawala tangu dunia inaumbwa.
 
In no way, one can be apologetic for the role of Magufuli in Lissu’s failed assassination bid. It’s an open book. We live in reality. We call a spade a spade, period.

The attitude and conduct of the State in the Lissu saga was entirely despicable! And the shameful campaign of the police/state to heap blame on the victim of such blatant cruelty for their failure to investigate and prosecute is incomprehensible!
It is more than incomprehensible! It"s deplorable,nonsense,brutal and uncalled for.Only nincompoops could do that!
 
Back
Top Bottom