Nashindwa kuelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashindwa kuelewa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kamangaza25, Oct 31, 2011.

 1. k

  kamangaza25 Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba kuuliza, hivi mungu anaweza kumwambia mke wako wa ndoa iliyo dumu mwaka mmoja eti akuache kwa kumuotesha usingizini
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh!!
  mapya haya
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh, Hii mpya, mi nafakiri ni ndoto tu inayoshinikizwa na shetani.
   
 4. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,648
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  Haiwezekani na lazima atakuwa shetani huyo...nahama jukwaa
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Oct 31, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwa Mtindo huu, hii yafaa jukwa la dini....
   
 6. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tehe teheeeeeee!!! hii kali aiseee nimeipenda
   
 7. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  "Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno" Mhubiri 5:3
  Pengine alikuwa na kashughuli na mshikaji mchana then akadanganywa akuache halafu usiku akayaota then anajidai kaoteshwa na Mungu...Mwambie sidanganyiki
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni mipango ya shetani. Mungu hawezi kuwatenganisha aliowaunganisha.
   
 9. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  "Maana mimi nakuchukia kuachana, asema Bwana, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema Bwana wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana. " (Malaki 2:16).
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,266
  Trophy Points: 280
  huyu amejiotesha mwenyewe...........................Mwenyezi mungu anachukia sana talaka.................soma Malaki 2:13-16
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  vitoto vya balekhe vimeongezeka sana............... kuna haja ya teen forum aka club10
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Inawezekana sana tu. Muambie asubirie hadi aoteshe next husband ili akitoka hapo kwako aende moja kwa moja kwa huyo #2
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh Mwenyezi mungu amsamehe huyo alooteshwa huo upupu akamtaja mungu.
   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hivi unajuaje ndoto ya "kujiotea" na kuoteshwa" ?
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  umejuaje? Yaani!
   
 16. maichrim

  maichrim Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Huyo anatumia mgongo wa dini/imani kuhalalisha tamaa zake kwa wanaume wa nje.......Ana pepo huyo aombewe!
   
 17. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo ni shetani.Mungu anachukia kuachana wala sio mpango wake wanandoa waachane. (Malaki 2:16)
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ni kweli aiseee
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hayo ni matokeo ya tabia zenu za kulazimisha mapenzi(mtu hakufeel unajifanya kumrubuni mpaka akupende)ukijiliwaza eti with time atakupenda na maisha yatasonga,...maake siamini mwanamke mnayependana na kuheshimiana kuthubutu kukueleza upuuzi wa mambo kama hayo,...anyway hilo unalo mkuu_na inabidi utafakari na uchukue hatua...pole sana
   
 20. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  .........aiseee...!!!!mungu huyu huyu wa mbinguni ama?
   
Loading...