Nashindwa kuacha kufikiria mapenzi, nifanyeje?

Nashindwa kuacha kufikiria mapenzi, nifanyeje?

Hapo dawa yake ni kufanya mapenzi tyu ni sawa na jino linalouma dawa yake ni kung'oa tyu
 
Aongee tu na girlfriend wake amsaidie
Kumbuka kuwa wameapiaa kuwa waaminifu, kwa hiyo ni vigumu kuomba ushauri kwa Girlfriend wake maana ifapelekea kuvunja uaminifu wao
 
Poa tukija katika Imani tunaaswa kuishi pasikufanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa, kuliweza hili kiimani ni kwa njia ya sala na dua. Hila kibinadamu inaweza kana kwa njia ya kuwa busy na mazoezi kama upo jeshini vile hila yataka moyo. Kikubwa ni kuwai kuoa kama u nashindwa.
 
Kumbuka kuwa wameapiaa kuwa waaminifu, kwa hiyo ni vigumu kuomba ushauri kwa Girlfriend wake maana ifapelekea kuvunja uaminifu wao
Hana jinsi ni bora amwambie kama ameshindwa kuvumilia na ameona amwambie ukweli ili aweze kumsaidia kuliko kumcheat na mtu mwingine
 
Back
Top Bottom