Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,051
- 5,952
Mwifwa, kama unamchumba na mmekubaliana ku-abstain hadi ndoa, kwa nini msioane?
Vv
Vv
Lakini tatizo langu kubwa ni kufikiria mapenzi(kugegeda) kila mara kuliko kawaida. Najua kufikiria mapenzi ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote rijali lakini kwangu imekuwa ni kwa kiwango cha juu zaidi.