Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,718
- 5,350
haha daamn.... dah aisee sali sana ndugu labda inaweza kusaidia
Hili jambo linahitaji ujasiri sana likienda sambamba na uaminifu wa kweli baina wanaopendana. Changamoto ni kama hili tatizo.Una moyo Mkuu hongera sana, ila shemeji yangu asiwe tu anagawa utamu kwa njemba lingine siku unaona kitumbo hicho!
Angalia tu usije kuuziwa mbuzi kwenye gunia kuja kufungua kumbe umeuziwa nyau Mkuu.
Aisee hyo mimi nisingeweza kabisaWote wamejiwekea uaminifu wa kutofanya hivyo, labda aonje kwingine jambo ambalo linaweza kuhatarisha mahusiano yao
siwezi mpk ikutokeeEbu jaribu kuigeuza hii mada muhusika awe mimi halafu unipe ushauri
[emoji23] [emoji23] sasa ndo wapo honeymoon alafu anashangaa jamaa sio mlaji kabisa anagusa tu anakaa pembeniMuhimu Chief[emoji4]
Hili jambo linahitaji ujasiri sana likienda sambamba na uaminifu wa kweli baina wanaopendana. Changamoto ni kama hili tatizo.
miss you pia sanaaa...sikuhz hatukutani humuUmbea sunnah[emoji12] halafu nilikumiss tuu bibie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sasa,mambo mengine kama ulishayaanza bora uyamalizie tuu....ah!!![emoji23] [emoji23] sasa ndo wapo honeymoon alafu anashangaa jamaa sio mlaji kabisa anagusa tu anakaa pembeni
Nikiri hili siliwezi na siliwezi.....