Kujizuia hisia mwisho ndiyo unaingia kwenye punyeto au unamsaliti mwenzako.Hauko pekee yako Mkuu ni 99.9% ya wapenzi ME na KE labda wale wenye bikra zote vinginevyo nao ni 99.9% au atatom#%*sha pembeni.
Dunno, sir.Kwa nini?
yeah mana ulikua umenikaririSidai nditoo... naona umebadilika kwelikweli.
ndio ila naona ananvungia tu kama vile haelewiSi ndio moyo wako umemuangukia[emoji23] [emoji23]
Hii kaiweka ivuga bila shaka?yeah mana ulikua umenikariri
Ameshakuelewa uwe na amanindio ila naona ananvungia tu kama vile haelewi
ndo mana nakupendaSiwezi kuwa na ugomvi na mtu mkuu, kuwa huru kabisa
nashukuru sana mshipaAmeshakuelewa uwe na amani
Karibu sananashukuru sana mshipa
Aseeh hongera saana.Ni mipango kama mipango mingine tu mkuu kutokana na maamuzi ya pamoja
hawezi kuweka avator nzuri hvyo wakt always anataman nionekane mbayaHii kaiweka ivuga bila shaka?