Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,769
- 126,702
- Thread starter
- #101
Ni kweli njia ya Imani inawezekana lakini inahitaji kuwa na Imani ya kweli sio ya juu juu ambayo inaweza peperushwa na upepo.Poa tukija katika Imani tunaaswa kuishi pasikufanya tendo la ndoa mpaka tutakapo funga ndoa, kuliweza hili kiimani ni kwa njia ya sala na dua. Hila kibinadamu inaweza kana kwa njia ya kuwa busy na mazoezi kama upo jeshini vile hila yataka moyo. Kikubwa ni kuwai kuoa kama u nashindwa.
Njia ya kuwa busy pia inasaidia, stress pia nayo inasaidia.
Lakini muhusika hapa yupo fit, no stress wala nini na suala la Imani pia yupo vizuri, ila hii changamoto ndio kikwazo kwake.