Nashindwa kuacha kufikiria mapenzi, nifanyeje?

Nashindwa kuacha kufikiria mapenzi, nifanyeje?

Ongea na mwenzio kwan ukijikaza sn hujui mwenzio anafikiri nn unaweza chelewa mwenzio wakatafuna
 
Ongea na mwenzio kwan ukijikaza sn hujui mwenzio anafikiri nn unaweza chelewa wenzio wakatafuna
 
Hayo mambo ya kusema ni mpaka ndoa ndo mgegedane, ni risk tosha.
 
Hongera kwa kupata gf mpole ,binafsi nisingekubaliana na wewe yaani sijui ungetoa reason gani kwamba kunjunjana mpaka ndoa !!!! Maana ningefanya figisu figisu na kuhakikisha tumefanya hilo tendo . Or else huyo dada ni bikra
 
halafu huwa unaandika kama badgirl fulani wakati u mtoto wa kimaadili kabisa. Ninayekufahamu nakuona tu hapa.
 
hakika wanawake huwajui vizuri wewe,eti tunasali pamoja ,acha unyaturu piga wewe ndio maana fikra za kungonoka haziishi,mwanamke anaweza akawa anakunyima wewe lakini kuna mjinga tu anafumua
 
Nimekuwa nikidate na girlfriend wangu kwa takribani mwaka mmoja sasa. Wote tumekubaliana tusishiriki tendo la ndoa(kugegedana) hadi pale tutakapofunga ndoa/kuoana.

Tumekuwa wawazi juu yetu kwa kila jambo kiasi kwamba kila mmoja anajua kwa undani tabia ya mwenzio na kutufanya tuwe na mahusiano imara.

Tunasali pamoja, tunasoma vitabu vya dini pamoja na tuko karibu zaidi ambapo kila siku lazima tuonane kujuliana hali.

Lakini tatizo langu kubwa ni kufikiria mapenzi(kugegeda) kila mara kuliko kawaida. Najua kufikiria mapenzi ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote rijali lakini kwangu imekuwa ni kwa kiwango cha juu zaidi.

Nafikiri Mungu ananiambia achana na fikira za mapenzi, fikiria juu ya maisha yako lakini nashindwa kuacha kufikiria mapenzi.

Najiuliza ivi kuna mtu anaweza kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi akiwa na afya njema kabisa bila kuwa na matatizo tofauti tofauti? Kwangu itachukua muda mrefu kabla sijaoa na sijui itachukua muda gani.

Naomba unisaidie juu ya hili tatizo ili kutunza uaminifu wangu kwa Mungu na kwa Girlfriend wangu.

Alinena rafiki yangu wa muda mrefu tangu utotoni akihitaji msaada kutoka kwangu
Utaacha kufikiria kugegeda ukiisha mgegeda demu wako
 
nimetamani kulia

yani mwaka mmoja bila mgegedo daaaah

ngoja niishie hapa... lakin ngoja tu niulize swali langu

huyo demu wako yeye haja zake za kimwili una uhakika hakuna mtu anayemtimizia maana genye mwanaharamu mzee anaweza kuwa kakukubalia msubiri ili umuone ana malengo ila upande wa pili kuna jinga linagegeda

nakushauri usimgegede hadi ndoa ila tafuta kimgegedo cha kuoshea rungu maana naskia zikizidi hizo huwa zinarudi nyuma hahaha
 
Oa ili uondokane na hiyo adha
 
Hahahah demu ansema atakupa mzigo paka muoane sasa unakuta sio bikra ndo utaelewaa
 
Back
Top Bottom