Nashera Hotel ya Morogoro imetoa tangazo clouds fm

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,632
68,560
Nimesikia tangazo la Nashera hotel clouds fm kwa mara ya kwanza kunani? Malima kaua soko nini la hii hotel?

Nawasilisha.
 
jamani achen majungu, hotel inatangazwa kabla ya ishu ya malima mimi na familia yangu 2likwenda xmas kwa kuwa tulisikia tangazo redioni na tulipelekwa kuona wanyama mbugani..king kong jarib t kuwa great thinker
 
Rate zao zikoje mama cha
 
Rate zao 150&300 thous.
ni kweli kweli maana waziri malima alisema alilipa 400,000 (ni suala la exchange rates)

Je usalama ukoje ukilinganisha na maelezo waliyotoa ya mtu kuvunja dirisha bila kuonekana katika chumba cha bei hiyo!!!!!!?
 
Mkuu mbona hii ni bei sawa na Royal palm (sijuwi imebadilishwa jina na kuwa nini kwa sasa).
 
Nimesikia tangazo la Nashera hotel clouds fm kwa mara ya kwanza kunani? Malima kaua soko nini la hii hotel?

Nawasilisha.

Hivi wewe kijana (King Kong) kazi yako nini? Kila thread ya jf wewe upo na umechangia.
Kama mfanyakazi basi we mzembe unaiba muda wa mwajiri.
Nakushauri fanya kazi kwa bidii acha porojo kila wakati hapa jf. Utakalia kulalamika muda wote wenzio wanajijenga.
Tafakari!
 
jamani achen majungu, hotel inatangazwa kabla ya ishu ya malima mimi na familia yangu 2likwenda xmas kwa kuwa tulisikia tangazo redioni na tulipelekwa kuona wanyama mbugani..king kong jarib t kuwa great thinker

Ni msikilizaji sana wa radio sijawahi sikia tangazo lao hata siku moja,mimi ni great thinker ndio maana nimejiuliza halijapita hv hv.
 
Back
Top Bottom