Kwa definition pana ya neno kuchafua, Rais na spika wetu hawawezi kukosekana.Hapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Anzeni kuwafilisi kina BASHITE na MWANAHARAKATI HURU MAYAGI MULAGA ,mkishawafilisi hao then MJE KWA WATU WANOAJULIKANA wanaong'oa watu MENO/KUCHA kwa KOLEO.Hapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Mbona unaandika sms za stress aiseePINGUZA UPUMBAVU.
ANGALAU UNGEANDIKA KUICHAFUA SELIKALI.
Umeandika madudu.
Mbona unaandika sms za stress atheKuchafua Nchi kivipi? Kuchafua Nchi kama kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuna kuchafua Nchi kama kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu? Unawaza uteuzi mpaka umejitoa fahamu zote? CCM ndiyo mnaichafua Nchi kwa matendo yao ya hovyo hovyo yasiyo na tija kwa Taif
Kuchafua Nchi kivipi? Kuchafua Nchi kama kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuna kuchafua Nchi kama kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu? Unawaza uteuzi mpaka umejitoa fahamu zote? CCM ndiyo mnaichafua Nchi kwa matendo yao ya hovyo hovyo yasiyo na tija kwa
Mwambie kwanza aliyeiba bilioni 425 za wawekezaji wa kiwanda cha dawa kutoka uarabuni arudishe anachafua nchi wawekezaji wanataka kuhamia Kenya .Hapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
mawazo yako ndio yanazaa chuki na visasi kwenye nchi.Ukishamfilisi mtu kumbuka anarafiki,ndugu na jamaa amabo wako hapa hawajafanya huo uchafuzi lakini wanamapenzi mema kwa nchi yao na ndugu yao.Utakapo mtendea vibaya ndugu yao hawatakuacha salama.Zambia walinusurika kidogo kufika huko Mungu tu aliwanusuru.Ushauri wako ni mzuri kwa wenye mtizamo kama wako lakini si afya kwa mustakabali wa nchi.Wakichafua wewe safisha kwa "HOJA"siyo kwa "LUNGU"Hapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Naunga mkono hoja mkuuUnaunga mkono hoja ya CCM kuchafua Nchi yenyewe kwa matendo yake haramu ya kishetani siyo?
Anzeni kumfilisi MboweHapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Hawa wanaolala kwa shemeji aliyepita bila kupingwa ni tabu kweli kweliUnaunga mkono hoja ya CCM kuchafua Nchi yenyewe kwa matendo yake haramu ya kishetani siyo?
Haya ni mawazo ya bashite sabaya type ya kuwapora watu Mali zao kwa kuwabambika.Kuwaza kuwapora watu mali zao kwa visingizio vya kuichafua Nchi hilo ndilo litaichafua Nchi maradufu, huu upumbavu wako wa kusuka mbinu za kuwachukulia watu mali kwa visingizio haramu vya kishamba na kishetani ndiyo kuichafua Nchi, matendo haramu ya CCM ndiyo yanaichafua Nchi
wewe ni mzigo kwa taifaHapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Anaekulipa kwa kazi hizi naye hana akili kama weweHapo vip!

Sasa wewe ndiyo mchafuzi, hebu jibu hoja za wadau hapo juu, sio unaandika uinga hapaHapo vip!

Unapotoka kijana, taifa linahitaji watu makini, wewe sio mtu makini, usiharibu amani iliyopo maana, usione watu wapo kimya wanatafakri kwa yale waliyofanyiwaHapo vip!
Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.
Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.
Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.
Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.
Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Walikula 10% ununuzi wa Ndege, waliojenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge nao wanaichafua Nchi zaidi kwa kuonekana inaendesha Nchi kienyeji pasipo kufuata katiba wala Sheria za Nchikwaiyo wezi Hawachafui Nchi
Unaunga mkono wizi wa kura kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani?Naunga mkono hoja