Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

Kwa hiyo ikifanyika hivyo nchi itakuwa safi? Je, sio kuwa ndio itachafuka zaidi?
Sasa ndiyo wataichafua zaidi endapo wataanzisha unyang’anyi wa mali za watu kwa visingizio haramu vya kishamba na kishetani
 
Hapo vip!

Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.

Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.

Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.

Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.

Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.

Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.

Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Umewahi kumsikia Snowden? Au unafahamu lolote kuhusu WikiLeaks.

Pumbavu kabisa, baba yako angekumbuka kutumia condom angeiepusha dunia kuwa na mazezeta kama wewe.
 
Lazima wafilisiwe tu hakuna namna

Mifano uliyotoa ya China na Russia inanipa wasiwasi kuwa ungependa yaliyotokea nchi hizo yatikee hapa kwetu. Mungu apishe mbali Huko China karne ya 20 yakotokea mauaji ya Tiananmen square. Kosa la waliouawa ni kudai Uhuru zaidi. Pia huko China waliokuwa wanadai haki ya kujiamulia mambo yao mji wa Hongkong wamefungwa na baadhi kukimbia nchi. Russia wapinzani wanaoipinga serikali amekuwa wakiandamwa na baadhi kudhuriwa kwa sumu. Hayo ndiyo unayotaka yawepo tz?
 
Hapo vip!

Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.

Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.

Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.

Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.

Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.

Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.

Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Mkuu unakalia size gani ?
 
Huna akili wewe!! Watu wanakutetea na ku kupigania uishi maisha bora wewe unaleta propaganda zako za lumumba hapa??? Kilaza kweli wewe
 
Unaunga mkono wizi wa kura kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani?
We kweli una akili za minyoo, wacha kujikaririsha ujinga
 
Unaelewa maana ya neno "Uhaini" unajua kuwa ndilo kosa la juu kabisa katika Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania?
 
We kweli una akili za minyoo, wacha kujikaririsha ujinga
Wewe mbweha haujaacha kuvuta Bangi ukajiona eti una Akili? Wakiitwa wenye Akili na wewe zuzu mbumbumbu utaenda? Nani kakuambia kuwa na Akili ni kushabikia kupora mali za watu? Acha ufala wako inaelekea uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho sasa unatapatapa kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kidwanzi na kishamba lakini hakuna wa kuhangaika nayo watu wapo busy na Hoja, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kama huna Hoja endelea kuvuta Bangi mbaka uwe chizi
 
Shikamoo shetani mkuu wa mashetani wote, mfuasi wa CCM Chama Cha MASHETANI, Chanzo Cha Matatizo
Chanzo cha matatizo ni akili yako mwenyewe,mbona kwenye hii serikali unayolaumu kuna watu wametajirika mpaka wakawa mabillionare...acha ujinga na uvivu fanya kazi.
 
Kukosekana kwa wawekezaji husababishwa na mazingira yasiyo rafiki na sera mbovu za uwekezaji...

Cc: mahondaw
 
Hapo vip!

Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.

Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.

Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.

Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.

Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.

Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.

Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Snowden, Assange wa wikileaks,
 
Mleta mada unatamani mali zao? Kama ndio nenda kaolewe nao watakupa bure uliridhshe moyo wako.
Andiko lako limetupa picha kuwa ni masikini wa akili na kipato pia.
Utapakuliwa)))
 
Back
Top Bottom