Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

Hiyo point yako ni sawa lakini je kama unasera nzuri ya uwekezaji alafu nchi ikawa na machafuko ya kisiasa....?
Ukiashakua na sera nzuri, ina maana pia pana utaratibu mzuri na uongozi bora, machafuko yatatokea wapi?

Machafuko huja kama kuna sera na utaratibu mbovu wa kila kitu... hayaji hivi hivi tu...

Cc: mahondaw
 
Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.
Umesoma ulichoandika na kujiridhisha vyema kuwa umetafakari kabla ya kuandika? sidhani kama unajielewa!
Ungekuwa umetafakari vyema ungegundua kuwa wamnaochafua hali ya nchi ni hawahawa 'wanaotutawala' na sio hawa unaowawazia wewe kwa akili zako ndogo.
 
Mleta mada unatamani mali zao? Kama ndio nenda kaolewe nao watakupa bure uliridhshe moyo wako.
Andiko lako limetupa picha kuwa ni masikini wa akili na kipato pia.
Utapakuliwa)))
Wewe comment yako inaonyesha wewe ni fukara wa akili na mali pia.
 
Yaani ufilisi mtu mali zake kwa sababu ya "kuichafua nchi" kwa maana na tafsiri yako wewe na viongozi wako wa CCM siyo?

Kila adhabu hutolewa kwa mujibu wa sheria za nchi na kamwe siyo kwa tafsiri ya viongozi fulani fulani wenye tamaa, chuki, waoga, wenye hofu na wabinafsi na wafuasi wao kama wewe...

Kwa hiyo, haya yanabaki kuwa maoni yako tu na kwangu mimi nasema hayana maana wala mantiki yoyote ya kisheria na kikatiba...!
 
NEC, manyigu na manjagu hawa ndiyo wameichafua nchi yetu sana hasa kwa uharamia waliofanya kwenye uchafuzi mkuu uliopita.
 
Nchi yetu haina waasi,wala machafuko ya kisiasa ..tafsiri yake Lema anaikimbia kivuli chake.
 
Hapo vip!

Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.

Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.

Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.

Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.

Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.

Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.

Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Mkuu watafuta uteuzi
 
Nashauri tuanze na yule aliyemuuzia KABULA wa kabis nyumba za umma wakati alikuwa hawala yake tu na hakuwa mtumishi wa umma . Yule aliyemuuzia nyumba bwana MUSA MAGUFULI Kwa laki 6 wakati hakuwa mtumishi wa umma
 
Hapo vip!

Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.

Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.

Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.

Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.

Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.

Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.

Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Nchi yetu inachafuliwa na Serikali ya John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wake wa Awamu ya Tano waliochafua Uchafuzi wa mwaka huu chanzo cha wakimbizi kunusuru maisha yao. Nchi imekwisha filisika tayari ndo maana maisha ya raia yamekuwa magumu na mabulungutu aliyokuwa anazunguka nayo mchafusi mkuu kugawia maswaiba yamepungua lakini mchafusi mkuu mwenyewe na viongozi wenzake bado wana mali walizolimbikiza. Ni ushauri wa kijinga, nani atamfunga paka kengele?
 
Wewe mbweha haujaacha kuvuta Bangi ukajiona eti una Akili? Wakiitwa wenye Akili na wewe zuzu mbumbumbu utaenda? Nani kakuambia kuwa na Akili ni kushabikia kupora mali za watu? Acha ufala wako inaelekea uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho sasa unatapatapa kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kidwanzi na kishamba lakini hakuna wa kuhangaika nayo watu wapo busy na Hoja, acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kama huna Hoja endelea kuvuta Bangi mbaka uwe chizi
Masikini minyoo unasikitisha mno
 
Hapo vip!

Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani.

Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu.

Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja kuekeze kwenye taifa letu..maana yake ni kupotea kwa fursa za ajira ambazo zilikuwa zitolewe kwa Watanzania.

Nchi kukosa ushirikiano wa maendeleo, na misaada kutoka katika mataifa mengine. Haya madhara yote yanamkuta mwananchi na sio mtawala.

Ni wazi hizi sarakasi za akina Lema na watu wanaofanana na yeye zinatokana na aibu ya kukataliwa na wananchi na kwakufanya hivyo wanapata misaada ya kifedha katika mataifa husika waliowapatia hifadhi na watoto wao wanasomeshwa bure.

Nashauri serikali yetu sikivu kwasababu hii tabia inamea na inakuwa kwa kasi. Na watu wenyewe wanaochafua nchi wamechuma sana ndani ya nchi wanaoichafua basi serikali ichunguze mali walizonazo huku kisha wafilisiwe ili wanaposababisha maisha magumu kwa wananchi kwa kuisema na kutangaza nchi vibaya naye asiwe salama kiuchumi.

Sijawahi kusikia wala kuona mataifa ya Ulaya na America wananchi wake wakichafua nchi zao. Mfano mzuri China na Russia hamna Mzungu anayekimbia nchi yake na kujidai mkimbizi.
Nchi anaichafua Magufuli, Unataka Kampuni ya Mayanga ifilisiwe?
 
Hili nalo ni pambio 'LIVE'

Mkuu kama sio mchawi basi utakuwa mtu mwenye roho mbaya lkn isitoshe unaishi kwa ajili ya kuwafanyia watu umafia.

Ila kumbuka ya kwamba FITINA HAINA POSHO na mshahara wa dhambi ni MAUTI.

Wanaochafua nchi wanajulikana ni ma CCM
 
Anaechafua nchi namba moja ni huyu anaeweka mihimili yote mfukoni mwake!
87659087.jpg
 
Na Walio itia nchi kwenye mikataba ya hasara wao wasifilisiweeee?
CCM ulevi wa madaraka hautawatoka mpaka walisambaratishe hili Taifa
Maana kila upuuzi unaletwa kuwakomesha wapizani
Hii impunity ambayo CCM wanaijoi nayo haina mwisho mwema kwa taifa
 
Back
Top Bottom