Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
Ndugu wakigombana shika jembe ukalimeRais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Kuna sambarau hapo Chief? Kibatala naye anataka ianze tume huru ya uchaguzi, is he a sambarau?Si tulishakubaliana kila mtu kushinda mechi zake? Si mbaya pia kukumbuka sisi siyo sambarau.
1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda zetu ni za kudumu si marafiki.
Basi habari ndiyo hiyo.
Mambo yenu wala hayatuhusu.
Kuna sambarau hapo Chief? Kibatala naye anataka ianze tume huru ya uchaguzi, is he a sambarau?
Kwa hiyo hajaongea hayo?Usimnukuu vibaya kamanda Kibatala. Huyo siyo sambarau.
Awajibishwe kwa kusema ukweli!?.. Shida ya vijana wa siku hizi ni unafiki na uzandiki. Hii mihimili miwili tofauti ambayo inatakiwa kuwa huru kwa vyovyote lakini ihakikishe utawala bora na ustawi unapatikana. Sasa maoni ya muhimili mwingine inaonekana chuki kwa rais. Shida ni mazoea ya muhimili mmoja kuubaka mwingine sasa inapotokea haya inaonekana chuki ambapo ingetakiwa kuwa hivi. JPM alikuwa anasema hadharani mikopo sio mizuri tushughulike na fedha za ndani mlikuwa mnapiga makofi. Sasa mama kaja na moja ya sera za mikopo mnapiga makofi as if kipindi cha JPM hamkuwa ninyi mlioshabikia..Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Relaxed, ishu inaboa ni haka katabia anyone akiwa anatofautiana mawazo na CDM basi ni sambarau au kijani. That's silly.Kibatala ni mtu ana maoni yake binafsi pia
Na maoni yake binafsi sio eti ndio msimamo wa CDM kama chama au ndio msimamo wa wanachadema wote
Relax man
Kwa hiyo hajaongea hayo?
Hata spika ni nembo ya nchi maana ni mkuu wa mhimili mmoja wa dola. Hivyo spika pia amedhihirisha jinsi watz tulivyo-wanafiki wa kutupwa. Unatunga sheria kisha unatoka nje unaanza kubwatuka.Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Kwa hiyo kipi kianze? Katiba mpya or tume huru? Maana naona mnagongana lugha tuHayo unayoyasema yako humu mjomba:
Kibatala: Wanaopinga Katiba Mpya wana Maslahi Binafsi
Alichoongea Kibatala ni umuhimu wa sheria kubadilishwa kuwa na tume muafaka itakayo husika kuipitisha katiba mpya.
Tambua hoja ya Kibatala dhidi ya ile finyu ya sambarau. Sambarau wanalenga chaguzi za watu wakati Kibatala analenga kupitisha katiba mpya kwa haki.
Si kweli, TZ watu wengi sana ni neutral, sidhani kama wanachama/mashabiki kindakindaki wa hivi vyama vyetu wanafika 20m out of 60mNi kweli statistically,sio wote ila kitakwimu ni true!
Wewe utakuwa ni agent provocateur. Rais wenu mlimchagua lini?Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Hauna akili.Kwani kwa yaliyofanyika Chatto na kanda ya ziwa mlipaji alikuwa nani?
Kwa hiyo kipi kianze? Katiba mpya or tume huru? Maana naona mnagongana lugha tu
Unatakiwa kutii sheria au amri halali, nje ya hapo utatii kwa kushurutishwa. Serikali ya awamu ya tano iliingia madarakani bila ridhaa ya wananchi kwa kuendesha uchaguzi usio huru na haki. Aliepo ni zao la serikali hiyo, mioyoni mwa waliodhurumiwa usitegemee utii wa hiari.Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAÌS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Hauna akili.
uchizi labda mambo mengine Ila kwa alichoongea siyo chiziKwani hujui kuwa Ndugai ni chizi. Kale kaugonjwa kake sasa kamepanda kutoka vidoleni mpaka kichwani. Na mwili unaanza kuvimba kama puto!!!. Spika hovyoo tangu tupate uhuru.