fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Ni muhimu kabisa kumuunga mkono samiaRais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAΓS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Zanzibar.Kwani kwa yaliyofanyika Chatto na kanda ya ziwa mlipaji alikuwa nani?
Ndugai lazima ANG'OKE.
Ebu tupe mchanganuo wa Trillion 10,,,maana pesa alizokopa zipo waziMtu gani miezi sita tuu kishakopa karibu 10trilioni alafu mjinga mmoja anasema tuje tumtetee siku akiondoka 2025 yeye peke yake si atafijisha 60 trillion.
Kama ambavyo wa awamu iliopita alitukanwa msibani hadi kaburini. Naomba muendelee kunawa mikono na kuvaa barakoa...π π π Ndio kwanza kumekuchaRais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAΓS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
MBOWE SIO GAID.Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAΓS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Mliompa dhamana? ..ni lini mlimpa dhamana wewe na nan?Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAΓS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Rais ni Nembo ya nchi yetu na ni sauti halali ya watanzania wote. Kwa misingi hiyo bila kujali mawazo yangu binafsi dhidi ya Rais Samia, lakini anapokuwa anatekeleza majukumu yake kama Rais wa nchi hapaswi kubezwa na mtu yeyote hadharani. Mtu akifanya hivyo anakuwa ametudhalilisha watanzania wote tuliompa dhamana Rais wetu kutenda na kuongoza kwa niaba yetu.
Kwa hiyo mh Ndugai tumng'ang'ie na tumwajibishe ili liwe fundisho kwa yeyote mwenye mwelekeo wa kudhalilisha taasisi hii muhimu ya urais. NINAMWOMBA RAIS SAMIA ASIWASHIKE MIKONO WOTE WALIOAMUA KUMWAJIBISHA HUYU ALIYELEWA MADARAKA NA KUDHANI MAMLAKA YA URAΓS YANAPUNGUKA KAMA JINSI YA "KE" IKIWA IMEKALIA KITI CHA URAIS!!! Ndugai lazima ANG'OKE.
Takwimu zinaonesha ndani ya mwaka mmoja 2016/2017 magufuli alikopa 13trlnEbu tupe mchanganuo wa Trillion 10,,,maana pesa alizokopa zipo wazi
Zanzibar.
ππππππππBasi sasa ndiyo mjue mlikuwa hamjui
ππππππππ
Magufuli alikuta deni la taifa likiwa shilingi ngapi na kaacha ikiwa ngapi?Takwimu zinaonesha ndani ya mwaka mmoja 2016/2017 magufuli alikopa 13trln
Hata hajawapa kitu, ni vile tu watu wamevurugwaWanakera Sana , huyu mama sjui kawapa nini ...!!
Nenda kajifukie Chato na uliyeshiriki kumuweka#Sio rais wangu!
Hajashiriki kwa namna yoyote kugombania nafasi aliyopo wala sijashiriki kwa namna yoyote kwa yeye kuwepo hapo alipo.
Kuna katiba mpya humo? Haya mengine mbona hayatuhusu?
Nami nilijiuliza sana Mwendazake aliwapa nn hawa watu yaan walikua wanamshukuru hata jambo ambalo lilipaswa ashukuriwe MUNGU alie hai!Wanakera Sana , huyu mama sjui kawapa nini ...!!