Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Hatari sana asije akakosa ubunge na ukuu wa mkoa kwa mpigo...
 
Kwa Mara ya kwanza jiji la Arusha linakombolewa kwa wapiga dili, wajanja wajanja wa mjini na genge la mafisadi tunampa Gambo mpambanaji wa wanyonge. Matapeli wa siasa waangalie Bunge kwenye TV, tumewachoka saa na mda wa ukombozi umefika!
 
Mimi ndie ninaekuambia sasa. ARUSHA MJINI haitorudi CCM. Ukombozi wa watu wa Arusha ulianza miaka mingi sana,kabla ya uhuru wa Tanganyika na sehemu tuliofikia ni kubwa sana.
Hata mimi nina uhakika Tanzania haiwezi kutawaliwa na chama kingine zaidi ya CCM.
 
Arusha ni njema atakaye na aje
 
Sijui kama unaelewa maana ya siasa! Labda kama uchaguzi ni kesho lakini kama ni 2020 yatatokea mengi hata huyo gambo unaweza mkuta ni yupo Rukwa au siyo mkuu wa mkoa tena na hana hadhi ya kugombea ubunge.
 
Naam, tunamkaribisha Gambo kwenye uchaguzi ajionee kisingeli cha ngaleloo.
Arusha tunapenda watu kama hawa tuwaonyeshe venye tunafanyaga chugani.
 
Sijui kama unaelewa maana ya siasa! Labda kama uchaguzi ni kesho lakini kama ni 2020 yatatokea mengi hata huyo gambo unaweza mkuta ni yupo Rukwa au siyo mkuu wa mkoa tena na hana hadhi ya kugombea ubunge.
Mkuu hata hamna haja ya kutoa maelezo mob, waache wacheze ngoma ya mchana.
 
Tatizo watanzania tunachagua mgombea kwa mapenzi tu na si kutaka maendeleo. Lema ni mfano wa wabunge ambao wanachaguliwa tu kwa kupendwa na watu was Arusha, lakini siyo kwa kuleta maendeleo. Namkubali sana mbunge Joshua was Arumeru.
 
 
Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
Hatuna mtu anayejiita bavicha na isitoshe wewe ni Uvchukua chako mapema mmetumwa na Gambo kumpimia upepo, mwambieni hana ubavu wa kushindana na mgombea yeyote wa chadema kwa hapa Arusha.
 
Ni Mpenzi wa CDM. Sitaki tupoteze jimbo. Programmu za Mbunge na Baraza la Madiwani alieleweki. Gambo kawekwa hapa kimkakati
ndio maana amekutuma upime upepo umsaidie kwenye hiyo mikakati yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…