Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

Wadau wa JamiiForums

Wazalendo Wote Nchini

Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu.

Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu uliotukuka akihudumu kwenye nafasi mbalimbali ndani na nje ya Chama

Hata hivyo pamoja na ukweli huo naona kuwa huu ni upepo muda muafaka kwake wa kung'atuka na kukabidhi mikoba kwa mrithi wake

Kwa Maslahi Mapana ya nchi yetu nashauri Kamarada ABDULAHAMAN Kinana Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM achukue mikoba yake

Kamarada Kinana ana uwezo mkubwa wa kuimarisha & kuunganisha & kukijenga Chama kikamilifu kulingana na mazingira ya sasa ya kisiasa

Kamarada Kinana anakubalika WanaCCM na atakuwa msaada mkubwa kwa Mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani na CCM kwa ujumla Kuelekea uchaguzi wa 2022 na 2025.

Twende na Mama
Twende na Kamarada Kinana.
KaziIendelee
Watetezi wa Mama
Hatimaye
 
Mlikuwa mnataka ushahidi wa Msoga gang kujihusisha na NGADA!! Mjomba wa Msoga kwa vile ndio mwenye usukani wa serikali, wauza PODA wote sasa wanatolewa Gerezani waje waendeleze libeneke lao!!
Mjomba ili kufanikisha udhalimu wake anataka kumuondoa Mzee Mangulla ili iwe rahisi kurudisha utawala wake wa kifisadi!
 
kumbe mlianza zamani sana
 
Kuwakomesha 'Msoga Gang' msinunue hizo 'ngada' zao

Ongea na watoto wako wasinunue ngada za Mzee yule ili tumkomoe lakin pia tumkomeshe.
Mlikuwa mnataka ushahidi wa Msoga gang kujihusisha na NGADA!! Mjomba wa Msoga kwa vile ndio mwenye usukani wa serikali, wauza PODA wote sasa wanatolewa Gerezani waje waendeleze libeneke lao!!
Mjomba ili kufanikisha udhalimu wake anataka kumuondoa Mzee Mangulla ili iwe rahisi kurudisha utawala wake wa kifisadi!
 
Ni vema Rais akapewa muda na nafasi ya kupanga safu yake kwenye chama chake. Lazima awe na watu watakaomwelewa ankotaka kwenda. Hata Rais aliepita alifanya hivyo. Hatutaki makelele mengi.
 
UPDATES: March 31,2022

Kamarada Abdulhaman Kinama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Philip Mangula

Wadau wa JamiiForums

Wazalendo Wote Nchini

Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu.

Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu uliotukuka akihudumu kwenye nafasi mbalimbali ndani na nje ya Chama

Hata hivyo pamoja na ukweli huo naona kuwa huu ni upepo muda muafaka kwake wa kung'atuka na kukabidhi mikoba kwa mrithi wake

Kwa Maslahi Mapana ya nchi yetu nashauri Kamarada ABDULAHAMAN Kinana Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM achukue mikoba yake

Kamarada Kinana ana uwezo mkubwa wa kuimarisha & kuunganisha & kukijenga Chama kikamilifu kulingana na mazingira ya sasa ya kisiasa

Kamarada Kinana anakubalika WanaCCM na atakuwa msaada mkubwa kwa Mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani na CCM kwa ujumla Kuelekea uchaguzi wa 2022 na 2025.

Twende na Mama
Twende na Kamarada Kinana.
KaziIendelee
Watetezi wa Mama
UMEKULA ngapi kwa Kampeni hii?

Kwa hiyo mnabariki rasmi wale wezi wa kipindi cha nyuma ambao CCM ilizimia mikononi mwa ndio warudishe makundi yao ya mtandao tena?

Unasema kinana anakubalika sana kwa wana CCM!
Je unaweza kuleta ushahidi wako kuthibitisha hilo?

Kinana alikwisha chafuka na ninashangaa kwa CCM kutokuwa na viongozi wenye uwezo kwa nafasi hiyo hadi mnawaza kurudisha watu waliokwishachafuka kama kinana?
 
Naona ulikuwa unawaandaa watu kisaikolojia.
Hii ilikwisha pangwa na kuamriwa kitambo ya kuwa Mangula atoke na mzee wa Tusker aingie....

Angalieni kosa moja litachafua mazuri 1000 ya Mh.Samia.
One 'aw shit' can erase a thousand attaboys.
 
UPDATES: March 31,2022

Kamarada Abdulhaman Kinama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Philip Mangula

Wadau wa JamiiForums

Wazalendo Wote Nchini

Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu.

Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu uliotukuka akihudumu kwenye nafasi mbalimbali ndani na nje ya Chama

Hata hivyo pamoja na ukweli huo naona kuwa huu ni upepo muda muafaka kwake wa kung'atuka na kukabidhi mikoba kwa mrithi wake

Kwa Maslahi Mapana ya nchi yetu nashauri Kamarada ABDULAHAMAN Kinana Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM achukue mikoba yake

Kamarada Kinana ana uwezo mkubwa wa kuimarisha & kuunganisha & kukijenga Chama kikamilifu kulingana na mazingira ya sasa ya kisiasa

Kamarada Kinana anakubalika WanaCCM na atakuwa msaada mkubwa kwa Mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani na CCM kwa ujumla Kuelekea uchaguzi wa 2022 na 2025.

Twende na Mama
Twende na Kamarada Kinana.
KaziIendelee
Watetezi wa Mama
Wewe lazima utakuwa mpigaji.Tembo wameongezeka mnataka kuwamaliza tena,hamna aibu kabisa.Hapana,mimi kama Mtanzania na Mwana CCM nasema tumechoka kuchezewa,Kinana hafai kuwa kiongozi wa CCM,abaki Mzee wetu Mangula,au atafutwe kiongozi mwingine mwenye moral values kama Mzee Mangula aiongoze CCM.Kinana kuiongoza CCM ni kukipaka Chama na wanachama wake matope.
 
UPDATES: March 31,2022

Kamarada Abdulhaman Kinama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara kuchukua nafasi ya Philip Mangula

Wadau wa JamiiForums

Wazalendo Wote Nchini

Natoa ushauri ufuatao kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi yetu.

Sio Siri Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM upande wa Bara amekuwa na Utumishi wa muda mrefu uliotukuka akihudumu kwenye nafasi mbalimbali ndani na nje ya Chama

Hata hivyo pamoja na ukweli huo naona kuwa huu ni upepo muda muafaka kwake wa kung'atuka na kukabidhi mikoba kwa mrithi wake

Kwa Maslahi Mapana ya nchi yetu nashauri Kamarada ABDULAHAMAN Kinana Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM achukue mikoba yake

Kamarada Kinana ana uwezo mkubwa wa kuimarisha & kuunganisha & kukijenga Chama kikamilifu kulingana na mazingira ya sasa ya kisiasa

Kamarada Kinana anakubalika WanaCCM na atakuwa msaada mkubwa kwa Mwenyekiti wa CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani na CCM kwa ujumla Kuelekea uchaguzi wa 2022 na 2025.

Twende na Mama
Twende na Kamarada Kinana.
KaziIendelee
Watetezi wa Mama
Mkuu Kamarada Uzalendo Wa Kitanzania , kwanza asante Sana na hongera kwa ushauri wako huu, umetekelezwa, kwa asilimia 💯% chini ya 💯%!.

Ila ili bandiko hili li make sense, hiyo update uweke chini baada ya the original post ya thread starter.
 
Back
Top Bottom