Nashangaa!?

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,098
Reaction score
1,176
Habari wana jf.mm ndo kwanza naanza kutupia makoment humu ndani.so,kunikaribisha ndo ishu ya msingi.fanyeni hivyo basi halafu tuone.
 
Karibu Jamvi hilo kalia wenyewe wametoka kuingia kama unavyojua mtu kwake hapigi odi,heshima muhimu kwa wote.
 
Mm nashangaa kwa nn nashangaa ila nadhani nashangaa kushangaa kwenu na mshangazo wangu
 
Unashangaa kwa vile unashangaa au? karibu mkuu umekuja kutafuta mchumba au umeleta ujumbe wa Nape, au Slaa?.
 
Kashangae posta watu wazima wanalamba stempu!
 
Habari wana jf.mm ndo kwanza naanza kutupia makoment humu ndani.so,kunikaribisha ndo ishu ya msingi.fanyeni hivyo basi halafu tuone.

..........karibu sana chabo,.......umekukumbusha mbali sanaaa,..karibu sana,.............................naendelea kukumbuka mambo mengi hasa baada ya kukukaribisha.................................,Chabo,...........
 
Ahahaha Chabo bana! Karibu sana lakini inaonekana wewe JF, nyumbani kwako
 
haya jf nami ndio huyoo, ashukuriwe asionekana kutupima pumzi,kwani wengine wamefunga matumbo kutengeneza figa, wengine kwa njaa ili ifike kesho, ;Kikubwa pumzi.
 
Chabo yaelekekea una uzoefu wa humu ndani-karibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…