Yaani Naapa, nashindwa hata kulala.... sijui nifanyeje.
Yaani nina hasira, siku ya tatu leo ana majibu ya mkato sana tulishazoea
kuongea usiku, lakini siku hizi simuelewi kabisa anapiga kidogo halafu ana
niambia kichwa kinamuuma.
Jana ameniambia hivyo,
"Nataka kulala kichwa kinauma."
Nikakumbuka kitu nikataka kumuuliza, saa 7.39 napiga naambiwa namba
inatumika saa 8.23 naambiwa namba inatumika mshnzzzzz.........%%$$###
Leo tena ananiambia vilevile kichwa kinauma yaani nina hasira
Hapa sihitaji ushauri, nimeshaamua kumbwaga nasubiri siku tu......
Pamoja na hasira zangu nimejikuta nacheka kwa hii Comment
Ayaaaaa weeeee!! Ukiona manyoya ujue ...............
ujue ana ugonjwa wa kunyonyoka manyoya.
Nitakujibu baadhi ya maswali. Kuna Comment mfano, ASHAKUM SI MATUSI - Anamegwa huyo, huna chako mkuu, anakuchuna tu n.k. Hizi zinaweza kukufanya usimalize mambo kwa njia nzuri. Ndio nilizoziogopa.
Kwa hasira nilizonazo ndio najaribu kupunguza lakini dahh... kama inashindikana vile.... Kinywaji
napendelea zaidi Pepsi. Unakusudia nini unaposema mtu wako ni mtu wa namna gani?
mimi nahisi yeye ameshakumwaga.ingawa hajakuambia rasmiMoyoni nishambwaga, siku ninayosubiri ni kumfikishia tu, yaani rasmi.
Nina sababu za Msingi, anajua nampenda sana na siwezimimi nahisi yeye
ameshakumwaga.ingawa hajakuambia rasmi
Ayaaaaa weeeee!! Ukiona manyoya ujue kesha............