Nasema tu kupunguza machungu, Sihitaji ushauri.

Kiufupi mkuu hapo wewe unachofanya ni ku-delay Breaking news,bt in reality huyo mdada kashakuchakachua hapo!ndo anakupotezea hivo ujue!piga moyo konde find something to do n usimuwaze au kumpigia simu!mwanzon itakuwa ngumu,bt slowly utazoea!
 
Labda yamemfika huko!, kafikishwa sehemu na lijamaa. Ni vizuri unavyonung'unika kwasababu una relieve stress, kama ni jipu basi unalikamua. Ila nadhani kuna kitu ukikumbukia unamissss....roho inakuumaa mweee! Pole
 
moyo ni msaliti, wakati mwingine unang'ang'ania sehemu ambayo akili imeshapakataa.

Pole, chukua muda wako, maisha yatasonga tu
 
umechelewa yeye kasha kumwaga
siku nyingi pole nduugu kwa kuandika hapa hasira zitapunngua
Kuna kitu hajakifahamu ndio maana nasema atarudi tu, lakini atarudi
wakati milango imefungwa.... Usiache mbachao..... nina experience
ya watu wanaoachana na sababu zao....... Namuhurumia.... ana matatizo
mawili ambayo hapa nayahifadhi wengi walimuacha mimi nilimuhurumia nikamtafutia
na tiba najua..... atajua tu huyo mpya lakini nasema BASI TENA... Leo hasira
zangu zimepoa kwa sababu nimeshaanza mchakato.
 
moyo ni msaliti, wakati mwingine unang'ang'ania sehemu ambayo akili imeshapakataa.

Pole, chukua muda wako, maisha yatasonga tu
Ahsante, nimeamka najiandaa kwa mchakato.
 
Kuna kitu hajakifahamu ndio maana nasema atarudi tu, lakini atarudi
wakati milango imefungwa.... Usiache mbachao..... nina experience
ya watu wanaoachana na sababu zao....... Namuhurumia.... ana matatizo
mawili ambayo hapa nayahifadhi wengi walimuacha mimi nilimuhurumia nikamtafutia
na tiba najua..... atajua tu huyo mpya lakini nasema BASI TENA... Leo hasira
zangu zimepoa kwa sababu nimeshaanza mchakato.

aliyempata ameweza tatua matatizo yake zaidi yako akaamua kula kona
 
atakuwa amesahau nini.....
je utampokea wakti moyo ushamto?
Usijali dada yangu, mimi ni mwanaume, ninawafahamu wanaume
wenzangu. Kwa dunia ya Leo mimi ni miongoni mwa wanaume
wachache ambao wana mapenzi ya kweli...... Siku mbili tatu mambo yangu
yameyumba najua kwanini ameanza dharau, Siko tayari kumpokea tena.
 
aliyempata ameweza tatua
matatizo yake zaidi yako akaamua kula kona
Hujui tu, siwezi kukueleza kila kitu lakini najua nitakapomwambia
nimegairi sina mpango tena na yeye lazima atazinduka.
 
Pole,get well soon mana huo nao ni ugonjwa.
Yaani kama utani lakini ukweli usiku wa kuamkia hii jumamosi sijalala kwa
hasira na mawazo, nikikumbuka nilikomtoa........ Kwa kuwa kazi nimemtafutia
mwenyewe zoezi la kwanza ni kwenda kumuharibia maana yule bosi ni rafiki yangu
sasa kwa elimu yake ya STD 7 ........
 
Ina maana bado haujamuambia! Ili ayie adabu anza kumletea pozi nae aipate. Wewe ndo usipige kabisaa, akipiga unakata unamuambia naumwa kichwa gnite. Afu atajiju. Revenge is the dish best served cold.
Hujui tu, siwezi kukueleza kila kitu lakini najua nitakapomwambia
nimegairi sina mpango tena na yeye lazima atazinduka.
 
Ina maana bado haujamuambia! Ili ayie adabu anza kumletea pozi nae aipate. Wewe ndo usipige kabisaa, akipiga unakata unamuambia naumwa kichwa gnite. Afu atajiju. Revenge is the dish best served cold.
Nimeipenda hii.
 
Usijali dada yangu, mimi ni mwanaume, ninawafahamu wanaume
wenzangu. Kwa dunia ya Leo mimi ni miongoni mwa wanaume
wachache ambao wana mapenzi ya kweli...... Siku mbili tatu mambo yangu
yameyumba najua kwanini ameanza dharau, Siko tayari kumpokea tena.

maskini umeandika kwa uchungu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom