Nasema tu kupunguza machungu, Sihitaji ushauri.

Usijali dada yangu, mimi ni mwanaume, ninawafahamu wanaume
wenzangu. Kwa dunia ya Leo mimi ni miongoni mwa wanaume
wachache ambao wana mapenzi ya kweli...... Siku mbili tatu mambo yangu
yameyumba najua kwanini ameanza dharau, Siko tayari kumpokea tena.

pole sana hivi umelala kweli??
Njoo b bar unywe supu
 
pole sana,yaani mapenzi ya siku hizi ni pasua kichwa kbs. Mi wangu alijitoa kwenye mood ya kupokea simu na kujibu sms kwa siku mbili kwa madai eti yupo busy na mm nilipoona hivyo nikawa kimya tu hadi akaamua kurudi mwenyewe.
 
Yaani nina hasira, siku ya tatu leo ana majibu ya mkato sana tulishazoea
kuongea usiku, lakini siku hizi simuelewi kabisa anapiga kidogo halafu ana
niambia kichwa kinamuuma.
Jana ameniambia hivyo,
"Nataka kulala kichwa kinauma."
Nikakumbuka kitu nikataka kumuuliza, saa 7.39 napiga naambiwa namba
inatumika saa 8.23 naambiwa namba inatumika mshnzzzzz.........%%$$###
Leo tena ananiambia vilevile kichwa kinauma yaani nina hasira
Hapa sihitaji ushauri, nimeshaamua kumbwaga nasubiri siku tu......
hahahahaha unachekesha unasubiri leo umwage wakati yeye amesha kumimina...hahahahahahaha...ndo mana simu iko bize chamsingi vuta kifaaa kikare zaidi yake....
 
Nikakumbuka kitu nikataka kumuuliza, saa 7.39 napiga naambiwa namba
inatumika saa 8.23 naambiwa namba inatumika mshnzzzzz.........%%$$###
Leo tena ananiambia vilevile kichwa kinauma yaani nina hasira
Hapa sihitaji ushauri, nimeshaamua kumbwaga nasubiri siku tu......

Ole wao wageuzao usiku kuwa mchana;
Laana yao wataipata hapahapa JF GAZETI wafanyakazi gani weye;
Piga chini fasta huyo ni Binti Maluuni.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sio kwamba unabwaga wakati ushabwagwa ? Pia sio wote waongeaji au sio kila siku kuna story za kuongea
 
Yaani kama utani lakini ukweli usiku wa kuamkia hii jumamosi sijalala kwa
hasira na mawazo, nikikumbuka nilikomtoa........ Kwa kuwa kazi nimemtafutia
mwenyewe zoezi la kwanza ni kwenda kumuharibia maana yule bosi ni rafiki yangu
sasa kwa elimu yake ya STD 7 ........

mkuu punguza hasira ,ubaya haulipwi kwa ubaya....achana naye yatamkuta tu.
 
pole sana,yaani mapenzi ya siku hizi ni pasua kichwa kbs. Mi wangu alijitoa kwenye mood ya kupokea simu na kujibu sms kwa siku mbili kwa madai eti yupo busy na mm nilipoona hivyo nikawa kimya tu hadi akaamua kurudi mwenyewe.

duh! wewe mkali aseeh! na ndiyo ukaamua kumcheat?
 
Moyoni nishambwaga, siku ninayosubiri ni kumfikishia tu, yaani rasmi.

...kabla wewe hujambwaga yeye keshakubwaga mbona! anakwambia anataka kulala, hataki maongezi nawe ila ukipiga simu yake iko busy...With who?...bado hutaki ushauri?
 
Huwezi!hapo ni nzi anafia kwenye kidonda
Yaani nina hasira, siku ya tatu leo ana majibu ya mkato sana tulishazoea
kuongea usiku, lakini siku hizi simuelewi kabisa anapiga kidogo halafu ana
niambia kichwa kinamuuma.
Jana ameniambia hivyo,
"Nataka kulala kichwa kinauma."
Nikakumbuka kitu nikataka kumuuliza, saa 7.39 napiga naambiwa namba
inatumika saa 8.23 naambiwa namba inatumika mshnzzzzz.........%%$$###
Leo tena ananiambia vilevile kichwa kinauma yaani nina hasira
Hapa sihitaji ushauri, nimeshaamua kumbwaga nasubiri siku tu......
 
Mh. Si kweli, angeniambia.

mkuu we kama mimi tu, imenitokea karibuni. Yaani nilivyosoma nikashtuka. Mwenzako nilamua kukaa kimya baada ya kuhisi mambo yameshaharibika. Baada ya mwezi akanitumia msg kuniambia anajua hajanifanyia vizuri ila ndo hivyo ishatokea. Mwisho akanambia anataka kuolewa, sijamjibu chochote mpaka leo. Hii imenifanya niwaone wanawake kama chombo cha ngono tu. Naomba tu Mungu aniepushie hasira niliyo nayo
 
Usijali dada yangu, mimi ni mwanaume, ninawafahamu wanaume
wenzangu. Kwa dunia ya Leo mimi ni miongoni mwa wanaume
wachache ambao wana mapenzi ya kweli...... Siku mbili tatu mambo yangu
yameyumba najua kwanini ameanza dharau, Siko tayari kumpokea tena.

uguza kidonda Mungu atakujalie atakayekuthamni nakuona penzi la kweli toka kwako
kila la heri wala usimtafute kwa lolote
 
Yaani kama utani lakini ukweli usiku wa kuamkia hii jumamosi sijalala kwa
hasira na mawazo, nikikumbuka nilikomtoa........ Kwa kuwa kazi nimemtafutia
mwenyewe zoezi la kwanza ni kwenda kumuharibia maana yule bosi ni rafiki yangu
sasa kwa elimu yake ya STD 7 ........

huna haja ya kufanya hivyo mwache ipo siku ataona umuhimu wako
jisifie umefanya mema kwa malimwengu ipo siku utalipwa mema kwa kupata
mwenye upendo/mapenzi ya kweli .......but hilo usijaribu kabisa acha mkuu GAZETI
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom