Nasema siwezi kuacha kuchepuka

Nasema siwezi kuacha kuchepuka

Unakipa tu tabu kibamia chako
😕 Ha ha ha vibamia mnavitesa sana na wale wenye papuchu kuuuubwa imelegea teketeke mbona hamsemi? Ila kuchepuka Siyo ishu saaana chepuka mara chache ili kupunguza wivu kwa mkeo.
 
kuchepuka raha tatizo kuchepukiwa mkeo ndo karaha..
 
Michepuko inakuza demokrasia ktk Mahusiano....
 
Hahaha umenifurahisha. Hivi unatushawishi sisi ama unajishawishi mwenyewe?
 
mkuu, nakuunga mkono kwa 100%....hakuna jinsi ya kuepuka mchepuko....kuacha kuchepuka ni ubinafsi uliopitiliza. sasa tukiepuka mchepuko hao wanawake wanaozidi ni nani atakayewa-service. mnaokataza michepuko acheni huo uubinafsi wenu wa kijinga.
Seriously?
 
baki main road michepuko inatiana hasara
 
NAONA VIJANA MNAENDELEA KUJITETEA NA KUJIFARIJI ILI UZINZI UWE NA UONEKANE KUWA NI HALALI huhuhuuu
 
Back
Top Bottom